Hawa ndio Watanzania waliotekwa na magaidi wa Hamas

Joshua Loitu Mollel and Clemence Felix

wapalestina wa buza na wakomonisti wa mbweni waambieni vijana wenu wa itikadi kali wawaachilie hawa vijana au mnaendelea kusupport hata huu ujinga.
View attachment 2796985

Wangejaribu kuingia vitani na ndugu zao mayahudi, hapo ndio patamu, hakuna cha utanzania wala nini, tena nawaambia kabisa Hamas piga uwa kabisa.

Nitakua mpumbavu niwe upande wa myahudi mweusi alieungana na jeshi kuwapiga ndugu zangu wapalestina.

Palestine 🇵🇸 will be free in shaa Allah
 
ngoja tuone wavaa kobaz wa tanzania kama wataandamana ili watanzania hawa ambao kwao ni makafir waachiwe au wana uchungu na wapalestina peke yake.

Niache kuandamana kwa ajili ya ndugu zetu wapalestina eti niandamane kwa ajili ya mayahudi weusi, hii akili ni ya wapi!! Sometimes muwe mnafikiria mnachoongea
 
swali ni kwamba, eneo lile linakaliwa na watu weupe, hao vijana ni pure african, wanajulikana kabisa kwamba sio waisrael, kwanini waliwakamata? hao nao wamewakosea nini au walikuwa wanakamata kila mtu tu, si wawaachie?
Lengo ni kuwaudhi na kuwakomoa Waisrael
 
Ukute cherikali nayo inashangaa
 

Ndio kawaida yenu, kinachosemwa na mzungu au myahudi mtaamini, hata kama ndugu zetu hamas wamewakamata hao mayahudi weusi watawahudumia vizuri na kuwaachia huru, huo ndio Uislamu bwana, mfano wale mabibi wa israel walihudumiwa mpaka wakaachiwa bila kudhuurika, huo ndio Uislamu bwana.
 
Dah vijana wadogo sana walienda kusoma na wangekuja kuwa experts wazuri na kuinua uchumi wa nchi yetu pitia kilimo. Mungu wasaidie vijana wetu warudi salama.
Itikadi kali haina faida duniani
 
Serikali yetu iko chini ya wavaa kobaz
 
Support anaipata kwa wavaa kobazi wenzake sio sisi tunaonjielewa
 
Unauza kitimoto, hela umeshika na damu ya kitimoto. Na waislamu wanajua unauza kitimoto.
Ukienda dukani kwake, anakuuzia bidhaa unampa hela ya kitimoto anapokea.
Sasa hivi wanatumia mtandao wa kafiri kutoa maoni yao.
Hahahahhaha wanakula hela za kitimoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…