Hawa ndio watu 3 pekee wanaoendesha Tanzania wengine wote ni wafuata maelekezo!

Hawa ndio watu 3 pekee wanaoendesha Tanzania wengine wote ni wafuata maelekezo!

umeambiwa hao wanaripoti kwa katibu mkuu kiongozi
Kimuundo ila sio kiutekelezaji.Wanariooto Kwa Rais ila sio Kila ripoti zinamfikia Rais.

Jamaa wa usalama waliwahi tupa semina kwamba Rais anapita ,atakuja mwingine ila Nchi inabakia so sio Kila jambo au Kila kitu Rais anajua,mfano hawezi jua aina za silaha zilizopo kwenye maghala nk
 
Back
Top Bottom