Hawa ndio watu 3 pekee wanaoendesha Tanzania wengine wote ni wafuata maelekezo!

Hawa ndio watu 3 pekee wanaoendesha Tanzania wengine wote ni wafuata maelekezo!

Ukiangalia kwa jicho pevu unaweza sema hivyo,but at the end mwenye power ndio mshindi wa mwisho,akitaka awafekelee mbali just dakika 1 tu wanakuwa majivu.
Unaweza kuwa na nguvu usiwe na akili ya kutumia hio nguvu.

Kuna watu wapo smart behind the curtain.
 
View attachment 2860143

1.Rais wa Nchi,

MHE. Samia Suluhu Hassan -Rais wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu​

-Yeye jukumu lake kubwa ni ku control hali ya Usalama na Siasa ndani na Nje ya Nchi
View attachment 2860147
2.Dkt. Moses Mpogole Kusiluka-Katibu Mkuu Kiongozi
-Yeye ni Katibu wa Rais na Mkuu wa Utumishi wa Umma-anaratibu shughuli zote za serikali ikiwemo Ulinzi na Usalama na DG wa TISS ana report kwake (kiufupi huyu jamaa ndio Nchi);na
View attachment 2860150
3.Emmanuel Mpawe Tutuba-Governor wa Bank kuu ya Tanzania

-Kama Gavana wa Bank kuu kazi yake kubwa ni ku Control Uchumi wa Nchi

**Hawa ndio watu 3 pekee wenye nguvu wanaoendesha Nchi;ukiona Nchi imestawi au imekwenda mrama wahusika ni hao 3 kwa kupongeza au kulaumiwa hasa hasa Dkt. Moses Mpogole Kusiluka-Katibu Mkuu Kiongozi maana yeye ndio think tank ya Nchi.

***Wengine wote mnawajua ninyi na vyeo vyao,Waziri Mkuu,Spika,Jaji Mkuu,Mwanasheria Mkuu, CDF,TISS DG ,CAG & IGP kwa muundo wa kiutendaji na kisiasa katika hii Nchi wana operate katika maamuzi ya hao 3.
Wote hawa Umekosa ila anayeiongoza Tanzania atakavyo hivi sasa Keshaamka zake pale Kwake Kawe Beach jirani na Piccolo na leo Saa 6 Mchana ataenda Kununua Samaki wake wa Tsh 200,000/= kwa Wavuvi walio nyuma ya Ukuta wake na atawaachia Tsh 50,000/= wanywe Kahawa.
 
Hivi Jeshi na Polisi mgambo, magereza n.k.... wakiiamua kupumzika na kupuuzia amri, hao watatu uliowataja watafanyakazi yoyote kweli? 💬 🤔
 
Hivi Jeshi na Polisi mgambo, magereza n.k.... wakiiamua kupumzika na kupuuzia amri, hao watatu uliowataja watafanyakazi yoyote kweli? 💬 🤔
Kaka nimesema waliobaki ni wafuata maelekezo,Kama wataamua kupuuza maana yake watakuwa tena sio wafuata maelekezo bali wananchi wakawaida kama wengine.
 
Unaweza kuwa na nguvu usiwe na akili ya kutumia hio nguvu.

Kuna watu wapo smart behind the curtain.
Hata ungekuwa na akili kama mchwa at the end anaye prevail ni mwenye power,ndio maana unaona hata ukiwa na akili nyingi kama akinaalbert einstein au Nikola Tesla au uwe tajiri zaidi ya Elon Musk at the end uta mu obey mwenye power.
power is everything
 
Back
Top Bottom