Hawa ndio watu 3 pekee wanaoendesha Tanzania wengine wote ni wafuata maelekezo!

Ukiangalia kwa jicho pevu unaweza sema hivyo,but at the end mwenye power ndio mshindi wa mwisho,akitaka awafekelee mbali just dakika 1 tu wanakuwa majivu.
Unaweza kuwa na nguvu usiwe na akili ya kutumia hio nguvu.

Kuna watu wapo smart behind the curtain.
 
Wote hawa Umekosa ila anayeiongoza Tanzania atakavyo hivi sasa Keshaamka zake pale Kwake Kawe Beach jirani na Piccolo na leo Saa 6 Mchana ataenda Kununua Samaki wake wa Tsh 200,000/= kwa Wavuvi walio nyuma ya Ukuta wake na atawaachia Tsh 50,000/= wanywe Kahawa.
 
Hivi Jeshi na Polisi mgambo, magereza n.k.... wakiiamua kupumzika na kupuuzia amri, hao watatu uliowataja watafanyakazi yoyote kweli? 💬 🤔
 
Hivi Jeshi na Polisi mgambo, magereza n.k.... wakiiamua kupumzika na kupuuzia amri, hao watatu uliowataja watafanyakazi yoyote kweli? 💬 🤔
Kaka nimesema waliobaki ni wafuata maelekezo,Kama wataamua kupuuza maana yake watakuwa tena sio wafuata maelekezo bali wananchi wakawaida kama wengine.
 
Unaweza kuwa na nguvu usiwe na akili ya kutumia hio nguvu.

Kuna watu wapo smart behind the curtain.
Hata ungekuwa na akili kama mchwa at the end anaye prevail ni mwenye power,ndio maana unaona hata ukiwa na akili nyingi kama akinaalbert einstein au Nikola Tesla au uwe tajiri zaidi ya Elon Musk at the end uta mu obey mwenye power.
power is everything
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…