Hawa ndiyo vijana wanaoikemea serikali ya Samia na kusaidia watanzana wengi baada ya kukimbilia uhamishoni nje ya nchi

Hawa ndiyo vijana wanaoikemea serikali ya Samia na kusaidia watanzana wengi baada ya kukimbilia uhamishoni nje ya nchi

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
12,505
Reaction score
40,002
1. Edgar Mwakabela au SATIVA
2. Msabaha
3. Hilda Newton (Alikimbilia uhamishoni baada ya kunusurika siku ya kesi ya Lissu)
4. Titto Magoti
5. Maria Sarungi

Ongeza wengine
 
wana ccm kwa ujumla unapigwa spana humu wewe g sam mpaka unajiona zuchu
 
Hilda Yupo nchi gani
1. Edgar Mwakabela au SATIVA
2. Msabaha
3. Hilda Newton (Alikimbilia uhamishoni baada ya kunusurika siku ya kesi ya Lissu)
4. Titto Magoti
5. Maria Sarungi

Ongeza wengine
 
Iddi Amini mama akumbuke tu hataishi milele.
 
Roma mkatoriki mpaka leo hana hamu ya kurudi nchini. Nilitaka kumsahau mdude.
 
1. Edgar Mwakabela au SATIVA
2. Msabaha
3. Hilda Newton (Alikimbilia uhamishoni baada ya kunusurika siku ya kesi ya Lissu)
4. Titto Magoti
5. Maria Sarungi

6.Ongeza wengine
Namba moja mpaka tano nawasikia, huyo Ongeza mwingine, hataa

...naye yuko uhamishoni?

...
 
1. Edgar Mwakabela au SATIVA
2. Msabaha
3. Hilda Newton (Alikimbilia uhamishoni baada ya kunusurika siku ya kesi ya Lissu)
4. Titto Magoti
5. Maria Sarungi

Ongeza wengine
Roma na yule padre aliyepgwa ameongezeka na gwajima .
Watu imefika hawamwogopi hata mungu kisa madaraka cjajua kama wanajua lini wanakufa wao
 
Back
Top Bottom