Hawa ndiyo wasanii waliovuma sana mwisho wakasanda

Hawa ndiyo wasanii waliovuma sana mwisho wakasanda

Ivyo vyote kwa sasa yuko anavifaidi kijana mmoja anyeitwa marlaw, kwa maana ya kwmba yale mauno na yale macho Bibie Besta aliamua amkabidhi moja kwa moja bwana mdogo marlaw
Mauno ya kwenye steji na ya kumbeba mtu ni tofauti kabisa,ukibisha jaribu.
 
Nimesoma comment zote za huu uzi........mmenikumbisha mbali sana.......na hicho ndo kipindi watu tulikua tuna tafuta magaazeti yenye nyimbo hizo ili tukaandike kwnye daftar aisee........noma sana.

By the way kama kuna yoyote kachangia hii mada kwa uzuri kabisa na bado anakaa kwa baba na mama ake naomba aondoke akapange....asituzalilishe
 
Baada ya hapo watueleze kuhusu John Mjema

john mjema alijiua kwake kwake kijjchi kwa matatizo yake binafsi ya kimaisha.steve 2k baada ya kupata mafanikio akishirikiana na akili the brain chini ya studio ya akili record,kulikuwa na show moja kwenye ukumbi wa ikweta grill mtoni,kulitokea ugomvi wa kugombea mwanamke alichomwa kisu ndiyo ukawa mwisho wa uhai wake.
 
Athuman Mlevi
Mechi kali
Baba Jane
Kichaa cha Jerry
Bush Party
Vibonge
Happy Birthday...

Jamaa walikuwa wanajua...
Kichaa kimempanda Jerry,baada ya kuvuta mineli,wengine walisema amerogwa na jirani kumbe mibangi imempanda kichwaani.Duh big up umenikumbusha mbali sana.
 
john mjema alijiua kwake kwake kijjchi kwa matatizo yake binafsi ya kimaisha.steve 2k baada ya kupata mafanikio akishirikiana na akili the brain chini ya studio ya akili record,kulikuwa na show moja kwenye ukumbi wa ikweta grill mtoni,kulitokea ugomvi wa kugombea mwanamke alichomwa kisu ndiyo ukawa mwisho wa uhai wake.
Steve maisha yake yalikuaje ? Anaonekana kama alikua muhuni fulani na mbabe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KALI P kwa sasa ameshika dini haswaa, na niliwahi kusikia alienda vituo vyote vya tv na redio na kuwaomba wasiwe wanapiga miziki yake (eti akiisikia kwa sasa anajiskia vibaya), na inasemekana ukimvizia wakati anapita na ukaweka wimbo wake atakufuata na kukuomba uufute na hata pesa anaweza kukupa ili usiupige tena. Ki ukweli dini imemkaa
Hahah dini gani? Au muislamu
 
Back
Top Bottom