Aiseeee bora wewe mm airtel namba yangu tunatumia watu wawili sjui kwann yani?Wajinga sana Vodacom wanatoa Free photo Instagram ...sasa ule upuuzi unafanya simu yangu inagoma kufungua insta kila nkifungua Naambiwa Instagram has stopped...... Nikitumia data ya airtel mambo ni motoo ....nimewaambia waniondoe kwenye ofa yao ya kijinga sina shida nayo Mimi .....GB nnazoweka zinatosha haswaa kuperuzi mitandaoni ...hawataki kuniondoa ...wiki nzima nawabembeleza tuuuuuu nachukia sana
Yap tutaenda mi jumapili nitakuwepo uhakika..Khaaaaa basi tufanye kila liwezekanalo wote turudi jpil na club tutaendaaa eeeh ndo zangu hizoooo
Nikweli hao ndio wenyewe au changa yani mshana yule mchawi profesa j ndio huyo hapana wachawi na vigagula hawawi mahendsom1.View attachment 803829
Mshana Jr
2.View attachment 803830
GuDume
3.View attachment 803832
Mr Miller
4.View attachment 803833
Hazard fc
5.View attachment 803834
Humble African
Kwa hisani yangu kwa mara ya kwanza nimekutana na mahanshaamy kutoka Jf wengine loooh sura ngumu kama chochoro za Mwananyamala koma koma.
Demiss Malaikaa.
Hahahahaha lol hiyo kubwa kuliko ....wagombeze hao customer care ...voda washukuru hawataki kuniunganisha Huduma kwa Wateja wangekomaAiseeee bora wewe mm airtel namba yangu tunatumia watu wawili sjui kwann yani?
Nitapigwa tunguriRudiii hapaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada niache tafadhali niendelee kujishaua
Hilo limepita tayari!Roast yako imeanza kuandaliwa kabisa mapemaa!Usisahau lakin mbabe hunter ameshasema nirud jpil tukutane mswano