Hawa ndo mahandsome wa JamiiForums

Hawa ndo mahandsome wa JamiiForums

Wajinga sana Vodacom wanatoa Free photo Instagram ...sasa ule upuuzi unafanya simu yangu inagoma kufungua insta kila nkifungua Naambiwa Instagram has stopped...... Nikitumia data ya airtel mambo ni motoo ....nimewaambia waniondoe kwenye ofa yao ya kijinga sina shida nayo Mimi .....GB nnazoweka zinatosha haswaa kuperuzi mitandaoni ...hawataki kuniondoa ...wiki nzima nawabembeleza tuuuuuu nachukia sana
Aiseeee bora wewe mm airtel namba yangu tunatumia watu wawili sjui kwann yani?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada niache tafadhali niendelee kujishaua
Jishaue dada [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakati ndo huuuu
 
Aiseeee bora wewe mm airtel namba yangu tunatumia watu wawili sjui kwann yani?
Hahahahaha lol hiyo kubwa kuliko ....wagombeze hao customer care ...voda washukuru hawataki kuniunganisha Huduma kwa Wateja wangekoma
 
Back
Top Bottom