Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
- Thread starter
- #361
Aiseeee bora wewe mm airtel namba yangu tunatumia watu wawili sjui kwann yani?Wajinga sana Vodacom wanatoa Free photo Instagram ...sasa ule upuuzi unafanya simu yangu inagoma kufungua insta kila nkifungua Naambiwa Instagram has stopped...... Nikitumia data ya airtel mambo ni motoo ....nimewaambia waniondoe kwenye ofa yao ya kijinga sina shida nayo Mimi .....GB nnazoweka zinatosha haswaa kuperuzi mitandaoni ...hawataki kuniondoa ...wiki nzima nawabembeleza tuuuuuu nachukia sana