Namjua mwenyewe hana uhandsome wowoteHahahahah nan huyooo?
Unataka unijazie inbox yangu Shunie?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sitaki mironjo nataka sura mm
Teh teh,bhas sawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nacheka mm endelea kutafuta hela
hahahaa maisha ya Humu bwana ..vituko sana " tunanyweshana chai mnooo
Unataka unijazie inbox yangu Shunie?
Kama yanguMm bwana uhandsome wako baki nao tu napenda sura ngumu sura ya kiume sura ya kazi
Wakikupiga ngumi wewe unawapiga fusho.Unachochea ugomviii eeeh nikipigwa nan ataniuguza hospital
Kama yangu
[emoji23] [emoji23] mkuu dingi yako mjanja sanaaa,, mkuu kwenu hakuna madada nijeWakati baba angu anaangaika kutafuta mahari za kumuoa mtoto mzuri, mrembo mwenye sura kama mercy galabawa ili azae watoto wazuri baba zao walikuwa vilabuni wanang'ang'ana na akina mwajuma ndala ndefu matokeo yake sura zinakuwa chachu wanamlaumu demiss.
Ahahaha!! Baba aliwahi kuniambia alishawai kuchumbia hadi kwa Wahindi miaka hiyo wakamtolea wakikariri ni nyani ila no sweti he didn't give up at last akamdaka mnyange mother.
Good job my Dad. [emoji23]
Sura ya kazi kaziNa ww una sura ngumu eenh
HuhuuuuuuuhuuuuNilikutania tu,mimi na sura ngumu,hiyo sura ni ya kazi,au unaionajeView attachment 803840