Hawa ndo mahandsome wa JamiiForums

Hawa ndo mahandsome wa JamiiForums

Wakati baba angu anaangaika kutafuta mahari za kumuoa mtoto mzuri, mrembo mwenye sura kama mercy galabawa ili azae watoto wazuri baba zao walikuwa vilabuni wanang'ang'ana na akina mwajuma ndala ndefu matokeo yake sura zinakuwa chachu wanamlaumu demiss.

Ahahaha!! Baba aliwahi kuniambia alishawai kuchumbia hadi kwa Wahindi miaka hiyo wakamtolea wakikariri ni nyani ila no sweti he didn't give up at last akamdaka mnyange mother.

Good job my Dad. [emoji23]
[emoji23] [emoji23] mkuu dingi yako mjanja sanaaa,, mkuu kwenu hakuna madada nije
 
Back
Top Bottom