made in tanzania_
Senior Member
- Mar 4, 2025
- 114
- 147
- Thread starter
-
- #41
Una-akili fupi sana sio kosa lakoShe
Shida yeko wewe unalilia unedelee kulangua watu, yani wafanya biashara karibu wote wa bongo ukiwasikiliza hoja zao za msingi wanakwambia mchina kaaribu biashara eti kwakuwa anauza rahisi, yani rah yako ni wewe ama nyie muendelee kutuuzia kwa gharama za juu.
Shusha na wewe bei kupambana naye tena waje hata wakorea
Sawa tuHawa ndo waekezaji wa kichina nchini Tanzania
- Wachina wanafungua car wash
- Wachina wanafungua supermarket
- Wachina wanafungua maduka ya kuuza bajaji na pikipiki
- Wachina wanafungua maduka ya rejareja
- Tender nyingi na kubwa wanapewa wachina
- Wachina wanafanya uchimbaji wa madini mdogo
- Wachina wameharibu bei vibaya mno ni ngumu kwa mfanyabiashara wa kitanzania kushindana nao
- Machina mteja anayetaka pisi moja anamuuzia sawa na anayetaka pisi 500
kwani we hizo fursa si uzitumie? Au unachoweza ni kulalamika?Hawa ndo waekezaji wa kichina nchini Tanzania
- Wachina wanafungua car wash
- Wachina wanafungua supermarket
- Wachina wanafungua maduka ya kuuza bajaji na pikipiki
- Wachina wanafungua maduka ya rejareja
- Tender nyingi na kubwa wanapewa wachina
- Wachina wanafanya uchimbaji wa madini mdogo
- Wachina wameharibu bei vibaya mno ni ngumu kwa mfanyabiashara wa kitanzania kushindana nao
- Machina mteja anayetaka pisi moja anamuuzia sawa na anayetaka pisi 500
Wenye matatizo ya akili ni Baba na Mama yako waliozaa punguani kama wewe.Unamatatizo ya akili wewe umefanya kipi cha maana huku duniani
Unachosema, ni sawa na kusema wazungu walipaswa kulalamika kuwa kwa nini kuna watumwa waafrika (weusi) ilhali kuna wazungu wanafanya kazi. Nchi haipo kwa ajili ya maslahi ya wafanyabiashara, bali kwa maslahi ya wananchiKuna watanzania wenzetu wanafanya biashara sasa wageni wanamiliki kariba kila kitu kuna nchi hapo
Kwamba umejiona mjanja kutukana wazazi wanguWenye matatizo ya akili ni Baba na Mama yako waliozaa punguani kama wewe.
Wananchi ni pamoja na wafanyabiashara nchi zote duniani lazima zilinde wananchi wake ambao ni pamoja na wafanyabiasharaUnachosema, ni sawa na kusema wazungu walipaswa kulalamika kuwa kwa nini kuna watumwa waafrika (weusi) ilhali kuna wazungu wanafanya kazi. Nchi haipo kwa ajili ya maslahi ya wafanyabiashara, bali kwa maslahi ya wananchi
Tuwape hadi nafasi ya urais awe mchinakwani we hizo fursa si uzitumie? Au unachoweza ni kulalamika?
Hunijui sikujui, unataka nikuonyeshe wapi niliyoyafanya?Kwamba umejiona mjanja kutukana wazazi wangu
Wewe mwenye akili tuonyeshe uliyoyafanya usikimbilie kutukana wazazi wangu hata hawana idea kama kuna mtu kama wewe
Wewe siunajifanya unaakili onyesha cha maana ulichofanyaHunijui sikujui, unataka nikuonyeshe wapi niliyoyafanya?
China kama ni mgeni hurusiwi kufanya biashara nyingi sana hakuna sehemu ngumu kufanya biashara kama China kama ni mgeninilichojifunza ni kwamba sisi watu weusi ni wabaguzi mno na ubaguzi wetu unatokana na inferiority complex iliyokomaa kiasi cha kuitwa dhambi
Ukiona watu ambao unahisi ni superior kwako wanafanya kazi au biashara ambazo ni inferior na unahisi kwa uduni wa hizo kazi zilitakiwa zifanywe na watu weusi/wazawa ukienda dubai kazi zote za kipunda zinapigwa na wahindi na wanakula malipo dusko kinyama akija uku kwetu ukikutana muhindi dereva tax unaona kama niaje ila wewe unaona ni sawa kusafisha vyoo ughaibuni
Ndo waekezaji hao wengine wanataka kufungua saloonMchina anavua samaki na dagaa
Acha kulialia kijana. Hapo ulipoandika unayo point moja tu. Bullet ya mwisho kuhusu kodi. Wachina wako dunia nzima na wanafanya umachinga kadri ya mazingirq wanayoyakutaHawa ndo waekezaji wa kichina nchini Tanzania
- Wachina wanafungua car wash
- Wachina wanafungua supermarket
- Wachina wanafungua maduka ya kuuza bajaji na pikipiki
- Wachina wanafungua maduka ya rejareja
- Tender nyingi na kubwa wanapewa wachina
- Wachina wanafanya uchimbaji wa madini mdogo
- Wachina wameharibu bei vibaya mno ni ngumu kwa mfanyabiashara wa kitanzania kushindana nao
- Machina mteja anayetaka pisi moja anamuuzia sawa na anayetaka pisi 500
- Wachina swala la kodi hawalijui hawatoi risiti kabisa
Wewe umekatazwa kwenda china kuyafanya hayo yote uliyoyaorodhesha.Hawa ndo waekezaji wa kichina nchini Tanzania
- Wachina wanafungua car wash
- Wachina wanafungua supermarket
- Wachina wanafungua maduka ya kuuza bajaji na pikipiki
- Wachina wanafungua maduka ya rejareja
- Tender nyingi na kubwa wanapewa wachina
- Wachina wanafanya uchimbaji wa madini mdogo
- Wachina wameharibu bei vibaya mno ni ngumu kwa mfanyabiashara wa kitanzania kushindana nao
- Machina mteja anayetaka pisi moja anamuuzia sawa na anayetaka pisi 500
- Wachina swala la kodi hawalijui hawatoi risiti kabisa
Chadema ndani mmewekeza nini cha kuongeza kodi za serikali na ajira?Tanzania ni kama Mkoa ndani ya China