Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Nyie UWT mmewekeza nini?Chadema ndani mmewekeza nini cha kuongeza kodi za serikali na ajira?
Mbachojua ni kukamua watu tu pesa zao kupitia tone tone
Wacheni hao wachiba waajiri watu ambao mwaweza wakamua hizo tone tone zenu za kitapeli
Kweli nimeamini fisiemu akili zenu zinalingana. Ww huoni kabisa hatariJwanini na wewe usiwekeze kama mchina?
Kishakufungua nacho kwa vitendo, na ndio lengo hilo.
kwahiyo sio kosa ? hv mtu mweus nan kakuroga ?unaonekana huon zaid ya hapo ulipoSasa kosa lao ni nini? Ukiwekewa mazingira ya kula hutakula?
duh akili za mtu mweus ni majanga , Nan ataikomboa Afrika kama mwafrika anawaza. hvWapo watanzania wengi Wana biashara kama hizo sehemu mbalimbali duniani. Na hao una shauri nini kwa hizo serikali kwa nchi walizopo?
hv hujui wa kuliweka sw hilo ? ukitoka hapa unavaa za kijana unasema mi5 tenaMbona waafrika wenzetu wanaona fahari kutuuzia bidhaa mara 35-50 ya bei halisi wanayonunulia huko china..?
Hajazuiwa moumbavu tu huyu mleta madaWewe umekatazwa kwenda china kuyafanya hayo yote uliyoyaorodhesha.
Dunia haina mipaka kwa wenye uthubutu!
Uko sahihi mfano biashara ya nguo na viatu vya mitumba kenya wafanyabiashara walioshikilia hiyo biashara ya jumla na rejareja na umachinga ni watanzaniaWapo watanzania wengi Wana biashara kama hizo sehemu mbalimbali duniani. Na hao una shauri nini kwa hizo serikali kwa nchi walizopo?
Umoja wa wanawake Tanzania una miradi kibao inaingiza mabilioni kwa mweziNyie UWT mmewekeza nini?
Wanasiasa wetu watakuelewa sasa.Hawa ndo waekezaji wa kichina nchini Tanzania
- Wachina wanafungua car wash
- Wachina wanafungua supermarket
- Wachina wanafungua maduka ya kuuza bajaji na pikipiki
- Wachina wanafungua maduka ya rejareja
- Tender nyingi na kubwa wanapewa wachina
- Wachina wanafanya uchimbaji wa madini mdogo
- Wachina wameharibu bei vibaya mno ni ngumu kwa mfanyabiashara wa kitanzania kushindana nao
- Machina mteja anayetaka pisi moja anamuuzia sawa na anayetaka pisi 500
- Wachina swala la kodi hawalijui hawatoi risiti kabisa
Wacha kupoteza muda kuwapiga vita Wachina. Instead chukua muda wako kuiga wanachofanya ili na wewe ujikwamue.Hawa ndo waekezaji wa kichina nchini Tanzania
- Wachina wanafungua car wash
- Wachina wanafungua supermarket
- Wachina wanafungua maduka ya kuuza bajaji na pikipiki
- Wachina wanafungua maduka ya rejareja
- Tender nyingi na kubwa wanapewa wachina
- Wachina wanafanya uchimbaji wa madini mdogo
- Wachina wameharibu bei vibaya mno ni ngumu kwa mfanyabiashara wa kitanzania kushindana nao
- Machina mteja anayetaka pisi moja anamuuzia sawa na anayetaka pisi 500
- Wachina swala la kodi hawalijui hawatoi risiti kabisa
Sasa si unajua kuhusu wengi wape? Yaani tulinde wafanyabiashara wanaouza vitu bei ghali ilhali kuna wengine wanauza bidhaa hizohizo kwa bei nafuu na wanalipa kodi?Wananchi ni pamoja na wafanyabiashara nchi zote duniani lazima zilinde wananchi wake ambao ni pamoja na wafanyabiashara
Wewe ndio mjinga ambaye unataka kuonyeshwa vitu, sehemu ambayo hatujuani.Wewe siunajifanya unaakili onyesha cha maana ulichofanya
yaani wewe unachojua ni kutukana endelea kuporomosha matusi mbona umeacha ulifikiri mimi ni mjinga kama wewe ntakutukana sikutukani ng'o
We ni mjinga wa mwisho
Kama hatujuani kwanin mara nyingi unahitimisha waafrika wote ni wajingaWewe ndio mjinga ambaye unataka kuonyeshwa vitu, sehemu ambayo hatujuani.
Hapa hatujuani, tupo kwa ajili ya mijadala, Sio kuonyeshana vitu.
You need a quick brain reset.
Kuna mambo mengi huyajui hao wafanyabiashara wa kibongo wengine ni ndugu zako, marafiki zako, majirani zako, wengine classmate ambapo hata ukipata shida hawa ndo wakwanza kukusaidia na sio wachinaSasa si unajua kuhusu wengi wape? Yaani tulinde wafanyabiashara wanaouza vitu bei ghali ilhali kuna wengine wanauza bidhaa hizohizo kwa bei nafuu na wanalipa kodi?
Mbona nyie mmejazana kwao mnafungua migahawa maisha popote kama unajimudu fungua pembeni yake pambanaHawa ndo waekezaji wa kichina nchini Tanzania
- Wachina wanafungua car wash
- Wachina wanafungua supermarket
- Wachina wanafungua maduka ya kuuza bajaji na pikipiki
- Wachina wanafungua maduka ya rejareja
- Tender nyingi na kubwa wanapewa wachina
- Wachina wanafanya uchimbaji wa madini mdogo
- Wachina wameharibu bei vibaya mno ni ngumu kwa mfanyabiashara wa kitanzania kushindana nao
- Machina mteja anayetaka pisi moja anamuuzia sawa na anayetaka pisi 500
- Wachina swala la kodi hawalijui hawatoi risiti kabisa
Hongereni UWTUmoja wa wanawake Tanzania una miradi kibao inaingiza mabilioni kwa mwezi
Wamewekeza sana kwenye majengo.ya kupangisha yako mfano jijijini Dar es salaam kuna magharofa ya apartments kibao
,umoja wa vijana vivyo hivyo nk
Hapana hao walikuwa wanauza kwa Bei juu mno, blenda inafika dukani kwa 35k wao wanauza 87k so mchina anauza 40k anapata 5k. Hao jamaa kwanza waliokuwa wanauza kwa 87k walikuwa hawawatakii mazuri Hawa watanzania so saivi imegeuka kwao.Hizi ndo akili za mwafrika furaha yake ni kuona wenzake wanateseka na akipata shida anataka aliowaombea mabaya wamsaidie
Ni kipi waafrika wamefanikiwa kufanya wenyewe pasipo usaidizi wowote wa kifedha au kitaalamu kutoka kwa wazungu?Kama hatujuani kwanin mara nyingi unahitimisha waafrika wote ni wajinga