Hawa ndo waekezaji wa kichina

Hawa ndo waekezaji wa kichina

Ndio ujifunze kupitia Wachina jinsi ya kuona fursa.

Unafikiri China kutoka kuwa taifa lenye uchumi wa kawaida mpaka kuwa namba 2 duniani waliwezaje?

Na sasa ndio global industrial powerhouse. Mchina anawafundisha jinsi ya kufanikiwa mnalialia
 
Hawa ndo waekezaji wa kichina nchini Tanzania
  • Wachina wanafungua car wash
  • Wachina wanafungua supermarket
  • Wachina wanafungua maduka ya kuuza bajaji na pikipiki
  • Wachina wanafungua maduka ya rejareja
  • Tender nyingi na kubwa wanapewa wachina
  • Wachina wanafanya uchimbaji wa madini mdogo
  • Wachina wameharibu bei vibaya mno ni ngumu kwa mfanyabiashara wa kitanzania kushindana nao
  • Machina mteja anayetaka pisi moja anamuuzia sawa na anayetaka pisi 500
Usimruhusu tembo aingize kichwa chumbani
 
wewe upo tu unazurura mjini tangu uhitimu chuo 2015 na barua zako za kutafuta ajira hali yakua mazingira ya biashara Tanzania ni mazuri mno, mazingira ya kilimo ni mazuri zaidi na unamshangaa mchina anaechangamkia fursa, right?

unatamani akatazwe kufanya hivyo hali ya kua wewe hutaki kufanya hizo kazi 🐒
 
Waafrika hasa watanzania wana upumbavu wa milele.

Kaeni hivyo hivyo wataingia hadi ikulu.

Nchi imefunguka.
 
Mbona nyie mnaogesha hadi wazee huko ulaya? Ukishakua raia kwenye nchi yoyote una haki zote kama raia wengine
 
Tender nyingi na kubwa wanapewa wachina

Wanatoa fungu kubwa kupata hizo tender
 
Hawa ndo waekezaji wa kichina nchini Tanzania
  • Wachina wanafungua car wash
  • Wachina wanafungua supermarket
  • Wachina wanafungua maduka ya kuuza bajaji na pikipiki
  • Wachina wanafungua maduka ya rejareja
  • Tender nyingi na kubwa wanapewa wachina
  • Wachina wanafanya uchimbaji wa madini mdogo
  • Wachina wameharibu bei vibaya mno ni ngumu kwa mfanyabiashara wa kitanzania kushindana nao
  • Machina mteja anayetaka pisi moja anamuuzia sawa na anayetaka pisi 500
She

Shida yeko wewe unalilia unedelee kulangua watu, yani wafanya biashara karibu wote wa bongo ukiwasikiliza hoja zao za msingi wanakwambia mchina kaaribu biashara eti kwakuwa anauza rahisi, yani rah yako ni wewe ama nyie muendelee kutuuzia kwa gharama za juu.

Shusha na wewe bei kupambana naye tena waje hata wakorea
 
Back
Top Bottom