made in tanzania_
Senior Member
- Mar 4, 2025
- 114
- 147
- Thread starter
- #21
ZitajeWapo watanzania wengi Wana biashara kama hizo sehemu mbalimbali duniani. Na hao una shauri nini kwa hizo serikali kwa nchi walizopo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ZitajeWapo watanzania wengi Wana biashara kama hizo sehemu mbalimbali duniani. Na hao una shauri nini kwa hizo serikali kwa nchi walizopo?
Mbona waafrika wenzetu wanaona fahari kutuuzia bidhaa mara 35-50 ya bei halisi wanayonunulia huko china..?Hizi ndo akili za mwafrika furaha yake ni kuona wenzake wanateseka na akipata shida anataka aliowaombea mabaya wamsaidie
Usimruhusu tembo aingize kichwa chumbaniHawa ndo waekezaji wa kichina nchini Tanzania
- Wachina wanafungua car wash
- Wachina wanafungua supermarket
- Wachina wanafungua maduka ya kuuza bajaji na pikipiki
- Wachina wanafungua maduka ya rejareja
- Tender nyingi na kubwa wanapewa wachina
- Wachina wanafanya uchimbaji wa madini mdogo
- Wachina wameharibu bei vibaya mno ni ngumu kwa mfanyabiashara wa kitanzania kushindana nao
- Machina mteja anayetaka pisi moja anamuuzia sawa na anayetaka pisi 500
wewe upo tu unazurura mjini tangu uhitimu chuo 2015 na barua zako za kutafuta ajira hali yakua mazingira ya biashara Tanzania ni mazuri mno, mazingira ya kilimo ni mazuri zaidi na unamshangaa mchina anaechangamkia fursa, right?Hawa ndo waekezaji wa kichina nchini Tanzania
- Wachina wanafungua car wash
- Wachina wanafungua supermarket
- Wachina wanafungua maduka ya kuuza bajaji na pikipiki
- Wachina wanafungua maduka ya rejareja
- Tender nyingi na kubwa wanapewa wachina
- Wachina wanafanya uchimbaji wa madini mdogo
- Wachina wameharibu bei vibaya mno ni ngumu kwa mfanyabiashara wa kitanzania kushindana nao
- Machina mteja anayetaka pisi moja anamuuzia sawa na anayetaka pisi 500
Wewe Mleta mada kaa hapo hapo na upumbavu wako watanzania kibao wamewekeza China
Mmojawapo huyu hapa
View: https://youtu.be/QQh-Bakln4E?si=NY2K2KNIIGMZIX3y
Sasa maisha yanatakiwa kuwa magumu au yawe nafuu? Unataka bidhaa ziuzwe bei ghali?Wachina wameharibu bei vibaya mno ni ngumu kwa mfanyabiashara wa kitanzania kushindana nao
Kuna watanzania wenzetu wanafanya biashara sasa wageni wanamiliki kariba kila kitu kuna nchi hapoSasa maisha yanatakiwa kuwa magumu au yawe nafuu? Unataka bidhaa ziuzwe bei ghali?
😁😁😁Jwanini na wewe usiwekeze kama mchina?
Shule ulienda kusomea ujinga 😀😀
Wewe Mleta mada kaa hapo hapo na upumbavu wako watanzania kibao wamewekeza China
Mmojawapo huyu hapa
View: https://youtu.be/QQh-Bakln4E?si=NY2K2KNIIGMZIX3y
Nikikaa kibanda cha kahawa napiga story inakupunguzia niniHalafu unaweza kukuta wakati anaandika huu uzi,amekaa kwenye kibanda cha kahawa anapiga story
SheHawa ndo waekezaji wa kichina nchini Tanzania
- Wachina wanafungua car wash
- Wachina wanafungua supermarket
- Wachina wanafungua maduka ya kuuza bajaji na pikipiki
- Wachina wanafungua maduka ya rejareja
- Tender nyingi na kubwa wanapewa wachina
- Wachina wanafanya uchimbaji wa madini mdogo
- Wachina wameharibu bei vibaya mno ni ngumu kwa mfanyabiashara wa kitanzania kushindana nao
- Machina mteja anayetaka pisi moja anamuuzia sawa na anayetaka pisi 500
Shida yeko wewe unalilia unedelee kulangua watu, yani wafanya biashara karibu wote wa bongo ukiwasikiliza hoja zao za msingi wanakwambia mchina kaaribu biashara eti kwakuwa anauza rahisi, yani rah yako ni wewe ama nyie muendelee kutuuzia kwa gharama za juu.Hawa ndo waekezaji wa kichina nchini Tanzania
- Wachina wanafungua car wash
- Wachina wanafungua supermarket
- Wachina wanafungua maduka ya kuuza bajaji na pikipiki
- Wachina wanafungua maduka ya rejareja
- Tender nyingi na kubwa wanapewa wachina
- Wachina wanafanya uchimbaji wa madini mdogo
- Wachina wameharibu bei vibaya mno ni ngumu kwa mfanyabiashara wa kitanzania kushindana nao
- Machina mteja anayetaka pisi moja anamuuzia sawa na anayetaka pisi 500
Unamatatizo ya akili wewe umefanya kipi cha maana huku dunianiWaafrika hasa watanzania wana upumbavu wa milele.
Kaeni hivyo hivyo wataingia hadi ikulu.
Nchi imefunguka.