Hawa ndo waekezaji wa kichina

Hawa ndo waekezaji wa kichina

Jwanini na wewe usiwekeze kama mchina?

Kishakufungua nacho kwa vitendo, na ndio lengo hilo.
Wao wamewekeza kwenye kukata
Mauno ,hawaoni kila kijana anataka kuwa muimba singeli

Ova
 
China angeruhusu wazungu waingie nchini kwake kufanya biashara kama sisi tunavyowaruhuru wa China hadi leo angekuwa wangekuwa manamba wa makampuni ya wazungu.

Jiulize kwanini China aliwabana wazungu na makampuni yao wasifanye biashara China waziwazi
Apple devices zinatengenezwa na Wamarekani hapo China, na sababu ni kuwa wafanyakazi wachina ni cheap kuliko Marekani ila kwa China ni faida sababu raia wake wanapata ajira ambayo angewabania wamarekani kuwekeza bado yeye mchina asingeweza kuwapa ajira hao wachina.

Unaposema aliwabana wasifanye biashara waziwazi - sijui unamaanisha nini mkuu?
 
Wakulaumiwa ni viongozi na sio wananchi viongozi ndo wanaowapa vibali
Ni Rushwa kwenda mbele
Mimi nikitaka kibali wananiambia una $ laki mbili
Ila mchina anapewa kibali cha kuwekeza kiwanda huku akiwa kaingia na mkoba kwapani katoka jela
Anaanza maisha kwa kuuza maua
 
Apple devices zinatengenezwa na Wamarekani hapo China, na sababu ni kuwa wafanyakazi wachina ni cheap kuliko Marekani ila kwa China ni faida sababu raia wake wanapata ajira ambayo angewabania wamarekani kuwekeza bado yeye mchina asingeweza kuwapa ajira hao wachina.

Unaposema aliwabana wasifanye biashara waziwazi - sijui unamaanisha nini mkuu?
Kampuni nyingi za China kubwa zinamilikiwa na wachina biashara kubwa china zinamilikiwa na wachina na sio wageni
Mabilionea wote ni wakichina na sio wageni
Ulishawahi jiuliza ni kwanini wamefanya hivi

Hizo kampuni zinazofanya zinazopewa contract na kampuni za kimarekani zinamilikiwa na wachina

uchumi wa China unamilikiaa na wachina Sasa wewe unataka uchumi wa Tanzania washikilie wageni na unashabiki ila akili za mwafrika ni fupi sana
 
Hawa ndo waekezaji wa kichina nchini Tanzania
  • Wachina wanafungua car wash
  • Wachina wanafungua supermarket
  • Wachina wanafungua maduka ya kuuza bajaji na pikipiki
  • Wachina wanafungua maduka ya rejareja
  • Tender nyingi na kubwa wanapewa wachina
  • Wachina wanafanya uchimbaji wa madini mdogo
  • Wachina wameharibu bei vibaya mno ni ngumu kwa mfanyabiashara wa kitanzania kushindana nao
  • Machina mteja anayetaka pisi moja anamuuzia sawa na anayetaka pisi 500
  • Wachina swala la kodi hawalijui hawatoi risiti kabisa
China angeruhusu wazungu waingie nchini kwake kufanya biashara kama sisi tunavyowaruhuru wa China hadi leo angekuwa wangekuwa manamba wa makampuni ya wazungu.
Ndio maana Trump anawapiga vita
 
Back
Top Bottom