mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Wao wamewekeza kwenye kukataJwanini na wewe usiwekeze kama mchina?
Kishakufungua nacho kwa vitendo, na ndio lengo hilo.
Mauno ,hawaoni kila kijana anataka kuwa muimba singeli
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wao wamewekeza kwenye kukataJwanini na wewe usiwekeze kama mchina?
Kishakufungua nacho kwa vitendo, na ndio lengo hilo.
Wawekeze tu kwa kuuza Ndimu 😀 😀Wawekeze au wanafanya uchuuzi
Apple devices zinatengenezwa na Wamarekani hapo China, na sababu ni kuwa wafanyakazi wachina ni cheap kuliko Marekani ila kwa China ni faida sababu raia wake wanapata ajira ambayo angewabania wamarekani kuwekeza bado yeye mchina asingeweza kuwapa ajira hao wachina.China angeruhusu wazungu waingie nchini kwake kufanya biashara kama sisi tunavyowaruhuru wa China hadi leo angekuwa wangekuwa manamba wa makampuni ya wazungu.
Jiulize kwanini China aliwabana wazungu na makampuni yao wasifanye biashara China waziwazi
Ni Rushwa kwenda mbeleWakulaumiwa ni viongozi na sio wananchi viongozi ndo wanaowapa vibali
Kampuni nyingi za China kubwa zinamilikiwa na wachina biashara kubwa china zinamilikiwa na wachina na sio wageniApple devices zinatengenezwa na Wamarekani hapo China, na sababu ni kuwa wafanyakazi wachina ni cheap kuliko Marekani ila kwa China ni faida sababu raia wake wanapata ajira ambayo angewabania wamarekani kuwekeza bado yeye mchina asingeweza kuwapa ajira hao wachina.
Unaposema aliwabana wasifanye biashara waziwazi - sijui unamaanisha nini mkuu?
Ndio maana Trump anawapiga vitaHawa ndo waekezaji wa kichina nchini Tanzania
China angeruhusu wazungu waingie nchini kwake kufanya biashara kama sisi tunavyowaruhuru wa China hadi leo angekuwa wangekuwa manamba wa makampuni ya wazungu.
- Wachina wanafungua car wash
- Wachina wanafungua supermarket
- Wachina wanafungua maduka ya kuuza bajaji na pikipiki
- Wachina wanafungua maduka ya rejareja
- Tender nyingi na kubwa wanapewa wachina
- Wachina wanafanya uchimbaji wa madini mdogo
- Wachina wameharibu bei vibaya mno ni ngumu kwa mfanyabiashara wa kitanzania kushindana nao
- Machina mteja anayetaka pisi moja anamuuzia sawa na anayetaka pisi 500
- Wachina swala la kodi hawalijui hawatoi risiti kabisa