Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Wapi hujaelewa joseph?Mbona sielewi? Mungu azidi kuwapenda zaidi!
Anamaanisha wafe kabisa atakibkuwasikia.Mungu awapende zaidiMbona sielewi? Mungu azidi kuwapenda zaidi!
Mzee baba tumia elimu kidogo tu ya faza mandevu pale Riara road utaelewa[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona sielewi? Mungu azidi kuwapenda zaidi!
Munu akikupenda zaidi anakuchukua !!Mbona sielewi? Mungu azidi kuwapenda zaidi!
Ha ha ha.... Natamani nimfahamu father mandevu.Mzee baba tumia elimu kidogo tu ya faza mandevu pale Riara road utaelewa[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi sijui.Naona wachungagi wakisema wakati wa mazishi kuwa, marehemu tulimpenda ila "Mungu akampenda zaidi". Hapo nikapata utata.
Naunga mkono hoja , list ni fupi hii ila sio mbaya kwa kuanzia !Nape. Sina chuki naye. Lakini namwombea Mungu ampende zaidi. Majibu ambayo Nape anatoa dhid ya wananchi.... Unamsikilizaaaaaa unasema Hiiii.
Mwigulu naye ukimsikiliza na ukiona anachofanya kwa wananchi maskini. Unatabasamu unajikuta humchukiii. Unamwombea Mungu ampende zaidi.
Makamba unamtizamaaaaaaa.....unatabasamu...unaangalia anayoyafanya... Unasema Mungu kweli anatujua tulivyo... Unatamani Mungu ampende zaidi.
Tuzidi kuombeana na kuwaombea viongozi wetu wengine pia Mungu awapende zaidi Taifa letu lifanye vizuri.