Hawa ni Viongozi/ Wabunge/ Mawaziri ambao unawapenda na unaombea Mungu awapende zaidi. Kwa manufaa ya Nchi

Hawa ni Viongozi/ Wabunge/ Mawaziri ambao unawapenda na unaombea Mungu awapende zaidi. Kwa manufaa ya Nchi

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Nape. Sina chuki naye. Lakini namwombea Mungu ampende zaidi. Majibu ambayo Nape anatoa dhid ya wananchi.... Unamsikilizaaaaaa unasema Hiiii.

Mwigulu naye ukimsikiliza na ukiona anachofanya kwa wananchi maskini. Unatabasamu unajikuta humchukiii. Unamwombea Mungu ampende zaidi.

Makamba unamtizamaaaaaaa.....unatabasamu...unaangalia anayoyafanya... Unasema Mungu kweli anatujua tulivyo... Unatamani Mungu ampende zaidi.

Tuzidi kuombeana na kuwaombea viongozi wetu wengine pia Mungu awapende zaidi Taifa letu lifanye vizuri.
 
Naona wachungagi wakisema wakati wa mazishi kuwa, marehemu tulimpenda ila "Mungu akampenda zaidi". Hapo nikapata utata.
 
Riara road tena? Ulishamendea toast za Mzee madevu?? Madevu Yuko wapi?.
 
Ihayabuyaga, kutaja riara road nikahisi ni mtu wa hiyo system au ulishatoka. Ni nani angalau unipe story? Mimi nipo open ndio maana nikatumia jina halisi ili uchambue "pumba" zangu. Mimi nimejaliwa katika fani ya pumba.
 
Njia Yao iwe utelezi na Giza totorooo, wote wenye Nia ovu na wananchi.

Walalie vitanda vizuri lakini wasipate USINGIZI,

Maana neno lasema, USINGIZI wake kibarua ni mtamu, lakini kushiba kwake Tajiri mwovu hakumwachi kulala USINGIZI.

Ameeeen.
 
Hao ndo kigogo 2014 wenywe na ndo waliomba mungu ampende mzee magufuli na akapendwa kweli
 
Nape. Sina chuki naye. Lakini namwombea Mungu ampende zaidi. Majibu ambayo Nape anatoa dhid ya wananchi.... Unamsikilizaaaaaa unasema Hiiii.

Mwigulu naye ukimsikiliza na ukiona anachofanya kwa wananchi maskini. Unatabasamu unajikuta humchukiii. Unamwombea Mungu ampende zaidi.

Makamba unamtizamaaaaaaa.....unatabasamu...unaangalia anayoyafanya... Unasema Mungu kweli anatujua tulivyo... Unatamani Mungu ampende zaidi.

Tuzidi kuombeana na kuwaombea viongozi wetu wengine pia Mungu awapende zaidi Taifa letu lifanye vizuri.
Naunga mkono hoja , list ni fupi hii ila sio mbaya kwa kuanzia !
 
Back
Top Bottom