Kabisaaa.Kwa dr ave maria semakafu alistahili kufukuzwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisaaa.Kwa dr ave maria semakafu alistahili kufukuzwa
Umeandika kishabaki Ila hujui kilichokuwa kinaendelea na wala hujui Job Description ya DG NIMR.Huu uchambuzi wako umechambua kwa kuongozwa na hisia za chuki dhidi ya Hayati JPM
Unaanzaje kusema kuwa ana chuki na familia ya Malecela ilhali baada ya kumtengua mke wa Malecela kutoka uRC baadae alimteua kuwa mbunge viti maalumu!?
Tena ubunge ndio post isiyo na stress na mshahara wake upo juu kuliko uRC
Pili, Dr Mwele alifanya kosa la kimamlaka ambalo lilipelekea yeye kuondolewa ktk hio nafasi yake. Kama alifanya uchunguzi na kubaini Zinca ipo nchini basi kimamlaka alitakiwa aliripoti hilo swala kwa mabosi zake Wizara ya Afya kisha Wizara ndio ingejua namna gani ya kuliwasilisha hilo mbele ya umma lakini badala yake yeye akakimbilia kwenda kuliripoti kwenye media,,,, akasahau kuwa yeye nae ana mabosi wake
Ni kama vile mkurugenzi usalama wa Taifa akigundua kuna hatari ya ugaidi nchini mwetu basi hakimbilii mbele ya media kuutangazia umma bali hupeleka taarifa kwa mabosi wake kwanza
Kwahyo utenguzi wake huyu DG NIMR ulikuwa sahihi kabisa
mkuu mbona keshalipwa siku nyingi, huoni alivyo fukaraNot always!
Wewe umefanya mangapi yasiyofaa hapa duniani, mbona hujalipwa?
Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
Machines ziko calibrated kupima vimelea vya binadamu. Ukipeleka chembe chembe zingine ambazo siyo vimelea vya binadamu kama mapapai na oil itakupa majibu yeyote na siyo majibu sahihi.Si kweli. Wewe ndiyo u a chukina Watanzania baada ya tubdulissu wako kukosa kurasasa kabuki na wadaiwa sugu kana sugu na wewe.
Mkurugenzi hajiamini, labda ndiyo hizi kazi za kupeana. Kware na mananasi na papai yalipimwa yakaonekana positive. Mkurugenzi mwadilifu angejieleza, au angepata statement hutoja Taasisi ya Mifugo Ukiriguru ielezw iweje kware apate covid. Vipimo hivyo hivyo vilikataliwa Italy na Ujerumani utasema hawampendi tundulissu?
Mwele ni mpumbavu. Tangu atangaze ugonjwa wa ebola, tangu afukuzwe, hajapatikana mgonjwa hata mmoja- yaani tulikuwa na mgonjwa mmoja tu wa nwele. Mwele alitumiwa na mabeberu kutetea utalii wa Kenya kwamba Serengeti kuna ebola. Hakuwa na madaraka hayo na sheria iko wazi. Hawa tukiwaacha mabeberu watangaze wanachotaka hatutabaki salama. Pale pale wakampa cheo wakamalizia rushwa waliyomwaahidi. Malecela ni shujaa wa nchi hii wala usimwingize kwenye uozo huu.
Semakafu aliteleza labda angeomba msahama. Anajua regulations yeye ndiye msimamizi wake, iweje asahau kwamba sera ilishapita? Yes, kulikuwa na uchaguzi na walimu ni taasisi nyeti, kwa nini usiwajibike kwa kupotosha?
sasa hicho kibabu siunakiona haziko sawa kichwani!Hapa bado hujaweka ''ZENGWE'' alilofanyiwa CAG,Professor Assad!
ACHA UNAFIKI NA HUYO MAMA WA ELIMU MZEE HIVYO NAYE ALIMTONGOZA? KUWA NA HESHIMA NA ADABU PUMBAFU WEWEEDikteta alikuwa akitongoza mtu akimkataa lazima amfukuze
Na pesa zao nani alkura?Huyo wa kwanza alitumbuliwa au alisimamishwa? anyway itapendeza akirudishwa kazini kama bado yupo nchini, hao wataalamu wapo wachache wanatakiwa kuwatumikia watanzania.
Kutajwa kupigwa kwa ile 1.5T ndio MATAGA mnamuona hamnazo?sasa hicho kibabu siunakiona haziko sawa kichwani!
Kwan risasi mlizompga Lissu mlitaka akae kmya?Si kweli. Wewe ndiyo u a chukina Watanzania baada ya tubdulissu wako kukosa kurasasa kabuki na wadaiwa sugu kana sugu na wewe.
Mkurugenzi hajiamini, labda ndiyo hizi kazi za kupeana. Kware na mananasi na papai yalipimwa yakaonekana positive. Mkurugenzi mwadilifu angejieleza, au angepata statement hutoja Taasisi ya Mifugo Ukiriguru ielezw iweje kware apate covid. Vipimo hivyo hivyo vilikataliwa Italy na Ujerumani utasema hawampendi tundulissu?
Mwele ni mpumbavu. Tangu atangaze ugonjwa wa ebola, tangu afukuzwe, hajapatikana mgonjwa hata mmoja- yaani tulikuwa na mgonjwa mmoja tu wa nwele. Mwele alitumiwa na mabeberu kutetea utalii wa Kenya kwamba Serengeti kuna ebola. Hakuwa na madaraka hayo na sheria iko wazi. Hawa tukiwaacha mabeberu watangaze wanachotaka hatutabaki salama. Pale pale wakampa cheo wakamalizia rushwa waliyomwaahidi. Malecela ni shujaa wa nchi hii wala usimwingize kwenye uozo huu.
Semakafu aliteleza labda angeomba msahama. Anajua regulations yeye ndiye msimamizi wake, iweje asahau kwamba sera ilishapita? Yes, kulikuwa na uchaguzi na walimu ni taasisi nyeti, kwa nini usiwajibike kwa kupotosha?
1. Dr. Nyambura Moremi
View attachment 1755243
Alikuwa ndiye mkurugenzi wa maabara ya taifa na fya ya jamii.
Alitumbuliwa kipindi janga la corona limepamba moto kwa kisingizio kwamba alipima sampuli ya ndege aina ya kware, mbuzi na mapapai vikakutwa na virusi vya corona.
Kimsingi, Dr Nyambura hakuwa na kosa bali alitimiza wajibu wake wa msingi kwa uweledi kulingana na taaluma yake kwa kuripoti majibu kadri ya kipimo kilivyoonyesha.
Itakumbukwa ni katika kipindi hicho hayati magufuli alitaka kuaminisha dunia kwamba nchi yetu haina ugonjwa korona kwahiyo hakuwa tayari kusikia taarifa yoyote juu ya uwepo wa ugonjwa huo. Hata hivyo baadae iligundulika vipimo vilivyotumika kupima sampuli vilikuwa na kasoro, hivyo Dr Nyambura alitumbuliwa kimakosa.
2. Dr Mwele Ntuli Malecela
View attachment 1755245
Alikuwa ni mkurugenzi mkuu wa taasisi ya utafiti wa magonjwa ya binadamu(NIMR).
Kipindi kumeibuka na ugonjwa usiojulikana uliohusishwa na ugonjwa wa homa ya dengue jijini Dar es Salaam, Dr mwele chini ya taasisi aliyoiongoza(NIMR) walifanya utafiti wakagundua ni ugonjwa wa zika ndipo akatangazia umma ili watu wachukue tahadhari ya kujikinga na kujilinda dhidi ya ugonjwa huo. Lakini kitendo hicho kilionekana kuwa chukizo kwa hayati magufuli akaamua kumfukuza kazi huku akimtuhumu kwamba anatumiwa na mataifa ya nje (mabeberu kama alivyopendelea kuwaita) bila ushahidi wowote wa kuthibitisha kauli yake hiyo.
Hata hivyo inasadikika kuwa kutumbuliwa kwa Dr mwele ulikuwa ni mwendelezo wa chuki binafsi ya hayati magufuli na familia ya malecela kwani hapo kabla aliwahi kumfuta kazi ya ukuu wa mkoa mama yake mwele( anne kilango malecela) kipindi cha sakata la watumishi hewa.
3. Dr Ave Maria Semakafu
View attachment 1755246
Alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa wizara ya elimu, sayansi na teknolojia.
Alitumbuliwa kwa kosa la kutaka kuboresha elimu ambapo awali alitangaza kufuta mafunzo na ualimu wa cheti jambo ambalo Hayati Magufuli aliita ni uamuzi wa kipumbavu na baadaye akamfuta kazi.
Hata hivyo, Dkt. Semakafu alitumbuliwa kimakosa kutokana na sababu za kisiasa kwani kwa wakati huo kampeni zilikuwa zimepamba moto hivyo hayati magufuli alifikia uamuzi wa kumfukuza Dkt. Semakafu kama njia ya kujitafutia kura kwa wananchi ila suala la kuboresha elimu ni miongoni mwa sera zilizoko kwenye ilani ya uchaguzi ya chama cha mapinduzi(CCM) 2020-2025 ambayo hayati mwenyewe alizunguka kuinadi nchi nzima.
Tangu alipomsimamisha kazi akimtuhumu kwamba anatumika na mabeberu sidhani kama alimrudisha
Kwa hiyo huyu hana jinsia? mpuuzi mkubwa wweACHA UNAFIKI NA HUYO MAMA WA ELIMU MZEE HIVYO NAYE ALIMTONGOZA? KUWA NA HESHIMA NA ADABU PUMBAFU WEWEE
Hizi ni tabia za madikteta wengiumepita mle mle wala hujakosea mkuu,
alikuwa akitongoza akikataliwa ana tumbua!!!
akikubaliwa anatunuku vyeo,,refer ya kisarawe na aliyewahi kuwa waziri wa migodini
Na yule mzenji Dr. Amina aliyeingia nae top 3, yaani baada ya kura za maoni mpaka leo hajulikani yupo wapi. Halafu cha kufurahisha, Mwendazake akawa anamwambia Hussein Mwinyi asiwasahau wale wenzie 11 aliochuana nao kura za maoni. Mambo ya nyani haoni kunduleIlikuwa siyo Ebola. Ni ugonjwa wa Usonji.Kiiglish chake sijui. Ila walipata watoto kadhaa.
Chuki ni Mwele akigombea Urais. Watu wote waliogombea 2015 aliwafanya maadui. Kumbuka Membe, January, Mwigulu, Mwele, Mwandosia n.k
Ilikuwa siyo Ebola. Ni ugonjwa wa Usonji.Kiiglish chake sijui. Ila walipata watoto kadhaa.
Chuki ni Mwele akigombea Urais. Watu wote waliogombea 2015 aliwafanya maadui. Kumbuka Membe, January, Mwigulu, Mwele, Mwandosia n.k
Kosa la Mwele lilikuwa dhahiri- akiwa Katekista akasoma injili wakati Padri yupoIshu ya Mwele Malecela ilikuwa ni ugonjwa wa ZICA na sio homa Dengue
Dr Mwele aliponzwa na ukiukaji wake wa itifaki. Alipaswa kwanza kuwajulisha waajiri wake (mamlaka) kuhusu matokeo ya 'utafiti' anaoufanya.Mkuu mbona kwenye post nimeeleza in and out ilivyokuwa au umesoma kwa juu juu tu ukakimbilia kukomenti?
Nimesema by that time kulikuwa na homa iliyosaidikiwa kuwa ni dengue lakini baada ya Nimr kufanya utafiti wakagundua ni ugonjwa wa zika kumbuka dalili za ugonjwa huu na homa ya dengue zinaelekeana
Kwa hao mabinti wazuri wazuri naona hii ndo sababu.Dikteta alikuwa akitongoza mtu akimkataa lazima amfukuze