MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
- Thread starter
-
- #121
Hizo lugha za kimaskini. Mpango mzima ni English. Hata wachina wenyewe wanajifunza kiingereza.Watu tunaongea kichina,kospaniola,kitaliano,kilingala na kizuru wewe unaleta mambo ya ki biden biden hapa
Sio maarufu.
Nimezaliwa nakijua ndugu.u know that that is equal to thoseHizo lugha za kimaskini. Mpango mzima ni English. Hata wachina wenyewe wanajifunza kiingereza.
Hapa JF kila mtu yuko kazaliwa na kiingereza. Kuna huyu Andrew Tate anasema yeye 24hrs anawaza kwa kiingereza.Nimezaliwa nakijua ndugu.u know that that is equal to those
Kama huyu sio ishomire ni bahat mbaya sanakiingereza tumeshawaachia awali na memkwa,watu tunaongea françois (language) na chinese
Na Baba Levo pia, wote wanaendana na hiyo orodha.Hii list bila Hamorapa na Shilole haijakamilika
Na Kifaransa chake ni kizuri.Vanessa Mdee anaongea kingereza kilicho nyooka.
Hamna kitu hapo bora useme Rosa Ree na Abigail Chams, anaungaunga sana.Hamisa ni hatari.
SASHA bado sana, labda Kibongobongo mnavyopimana lakini kiuhalisia bado mno.Hapo ni watatu tu wanastahili
- Jokate Mwegelo
- His Excellence President Samia
- Vanessa Mdee
Wengine hapo ni walo wa Thee..Thee...ya kukariri
Nah, cut the bullshit. You can't even reply in English besides putting your own ass on the damn list.Wewe kiingereza chako ni cha hovyo mno. Unatumia nguvu nyingi mno kuandika sentensi zako. Kuna makosa kibao kwenye grammar. Jitahidi uwe na chupa ya maji pembeni kila ukimaliza kuandika sentensi ya kiingereza. Pambana mkuu. Acha kulialia.
Najua unatamani sana nikujibu kwa kiingereza kama akili yako mbovu inavyokutuma. Sitatoa hiyo nafasi kwa mtu mjinga kama wewe. Kiingereza chako sio kibaya sana ila ni cha kutumia nguvu nyingi. Endelea kukifanyia mazoezi baada ya miaka minne utakuwa unamudu kuongea na kuandika vizuri kiingereza. Ungekuwa Arusha ningekushauri uende kwenye migahawa ya Clocktower uwe unapiga stori na watasha.Nah, cut the bullshit. You can't even reply in English besides putting your own ass on the damn list.
Also, correct my grammatical errors if you see any without forgetting to reply in English next time. Try me, you inglorious buffoon!
My std 3 boy,pia anaongea english fasaha sana.1. Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan
2. Jokate Mwegelo
3. Mimi
4. Freeman Mbowe
5. Mwigulu Nchemba
6. Tundu Lissu
7. Vanessa Mdee
8. Nikki wa II
9. Hamissa Mobetto
10. Adam Mchomvu
Kwahiyo Adam Mchomvu na Hamissa wakanunue madawati na dawa kisa wanajua kiingereza? Picha upumbavu wako.my
My std 3 boy,pia anaongea english fasaha sana.
So kingereza peke yake ni upuuzi tuu kama haki tatua matatizo ya wananch, hakijengi madarasa,hakinunui madawati,hakinunui dawa hospitali au kulipa malimbikizo ya wafanyakazi.Kinageuka kuwa kelele tuu.kwanza sisi huku kijijini hatukijui kizungu hivyo hata hatujui kama mtu anaongea vizuri au vibaya