ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Salute kwakoMandingo nae sio mtu poa,asisahaulike kwenye ufalme tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salute kwakoMandingo nae sio mtu poa,asisahaulike kwenye ufalme tafadhali
Eti wanae hawajawahi kupigwa kk Yale maigizo c unaamua tu mwenyewe picha liweje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapo kwa wacheza sinema wa Marekani kila mmoja alikuwa mkali kulingana na fan yake ya uchezaji.
Mfano Chuck Norris alikuwa mzuri kwa upiganaji, Rambo akishika mashine mkononi kwake basi hata vietnam M1 watakwisha tu kama njugu, mzee Anord huyu ni mzuri sana kwa upande wa movie za teknolojia kama vile Predator, Terminator nk.
Africa America kwa upande wang nawaona wawili wanachuana hapo chini
1) Samuel Jackson
2) Denzel Washinton
Bollywood unawekaje kijana mdogo kama Shahrukh Khan na kumuacha mkongwe Dharmendra ambaye hajawahi kupigwa ndan ya movie zake na pia hata watoto wake kina San Deo na Bob Deo walifuata utemi wa baba yao.
Bongo movie Kanumba umepatia maana kina vicent kigosi ambao wangevaa viatu vyake ndio hao wanaoshinda wanakunywa maji ili wawe weupe.
Mfalme wa soka miaka yote anajulikana, na hajawahi kumuachia mtu kiti chake cha ufalme huyu ni mchawi wa soka duniani ndugu Pele.
Mwamba alikuwa na kipaji yule... Alisimamisha taifa siku ya msiba wake😂😂😂 Kanumba nae hajapata mpinzani ktk tasnia ya movie Tanzania na East Africa kwa ujumla.
Kuna Albert Einstein huwa Hana mpingamizi kwa modern science. Sema Newton kwa classical physics Ni mnyama mno.Ebuuu Mleta uzi chokoza mada watu watuletee List ya Wanasayansi bora dunian, Maana nishashindwa kumlinganisha Newton na Washkaj zake wa enzi hizo.
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji16] MandingoMandingo nae sio mtu poa,asisahaulike kwenye ufalme tafadhali
Yah hawa wanasayansi karibia asilimia 99% ya vitu tulivyonavyo sasa ni Muendelezo wa Ideas ZaoKweli mkuu hawa legendary nilifanya kosa kutokuwaweka.
Du kweli mwamba alikuwa kiboko. Umefanya la maana kutuletea historia yake mkuu, manake sasa wengi tumejifunza kupitia historia hii.Pia Jesse Livermore katika tasnia ya speculation aka trading hakuna ambaye atamfikia ama amemsogelea.
Alizaliwa mwaka 1875 akiwa na miaka 14 tu akiwa amemaliza grammar school, na alifanya hesabu ya miaka mitatu kwa mwaka mmoja tu. Iyo miaka akaajiliwa na wakala kwa kuandika Bei za hisa katika ubao wa wateja kila mara zilipokuwa zikibadilika.
Sasa bana alimeki faida kidogo ya $3.25 akiwa na mshkaji aliyemshauri.
Baada ya hapo akafungua kwa wakala wengine ule muda wa lanchi anakimbia kwenda ku speculate.
Akiwa hajafika miaka 20 alipata kitu like $10000 mpaka mama yake akamwambia kuwa hii hela Ni nyingi iwekeze kwa biashara zingine Mana maza alijua mwanae anafanya kamari Ila akamhakikisha maza mie naspeculate Bei za stocks nafanya calculated risk bet so worry not.
Mana maza alishangaa hajawahi kuona boys wa huo umri huo wakimiliki hizo hela.
Jamaa aliwala mno hao brokers wahuni wa uk mpaka wakawa wanamkataa Mana kila muda anawala. Akawa anatumia washkaji yeye anawambia now fanya hivi Ila bado walishtukiwa.
Ikabidi akiwa na 25yrs kijana aliyeitwa wonder boy/plunger boy akahamia new York ili kufanya real speculation katika real business with legit brokers.
Mnamo mwaka 1901 akameki kitu like $1M.
Mpaka kufikia mwaka 1940s alikuwa na kitu Kama $100M sema kutokana na familia related problems akapoteza iyo pesa na akajiua.
Kumbuka Hawa walitredi kwa mazingira magumu mno Kama kupiga simu kwa broker,ndio Oda yake iwekwe.
Saivi ulipo ipo so hakuna wa kumlinganisha kwa enzi hizo.
Hata Richard Dennis aliyeazima hela kwa Bibi yake like $1600 ikashuka mpaka $400 baadaye akaipandisha mpaka $200 ndani ya miaka nane hajamfikia Mana huyu ni wa 1980s tayari teknolijia iko juu kulinganisha na enzi hizo.
Takashi Kotegawa mjapani huyu yeye alitoa akaunti from $13600 mpaka $158M Ila bado unaambiwa msela ana tisheti Ile Ile na anakula Ile Ile chakula yake ya cup of ramen.
Kwangu mie namkubali mno Jesse Laurian Livermore.
Huyu Ni kizaa mababu zetu.
View attachment 2337596View attachment 2337600
Kwahiyo ishu ni Nani wa zamani[emoji23][emoji23][emoji23] hakuna king wawili kwenye tasnia. Hapo kwenye mpira tayari kaishabana mzee Pele wa brazil toka miaka hiyo. Hata waliotaka na Maradonna aongezwe walichemsha, sembuse ije kuwa bwana mdogo Mesi??
Una akili sananingependa kujua rekodi ambazo Mohammed Ali aliziacha na hazijafikiwa ama kuvunjwa mpaka leo!?
Vya kale dhahabu,hata Marcelo kafanya yote aliyofanya Carlos lakini tuzo ufalme WA namba 3 ni WA Roberto carlosWakati Pele anacheza soka hakukua hata na sheria ya Offside,alikua anatupia tu kambani,
MESSI ndio mfalme wa soka hata makocha wakubwa wanatambua hilo,
Ila ruksa kwako kuamini kua Pele ndio King.
Ahahah umetisha ulivochanganya mada kwa masrah ya mada na kw maasrah yako pia.Kuna Albert Einstein huwa Hana mpingamizi kwa modern science. Sema Newton kwa classical physics Ni mnyama mno.
Wapo wengine like Tesla huyu jamaa mpaka Thomas Edson aliiba kazi zake pia wakubwa wakimmaliza huyu Tesla Mana alitaka kituletea umeme wa bure Tena wireless Ila upo njiani unakuja najua sie watafuta sifa kitandani hatutaamini. Mana hata mobile phone ilikuwa Ni puzzle miaka iyo.
Saivi wale wasiotafuta sifa ya kula mbususu kimasihara wanapokezana tafiti tuwe na wireless electricity.
Nipeni mbinu ya kusugua kicmi Cha demu mpaka anikubali
Kila anguko Lina sababu zake. Anguko la Ali kupigwa na Smokin Frazier nk. So sababu ya Ali kuonekana hakua Bora kwa yaliyompata. Historia itamwandika hivyohivyo i'la itataja na sababu..Ali katika mapambano matatu na Joe Frazier kashinda mawili na yeye kapoteza moja.
Tena alipoteza pambano kipindi kile alichokataa kwenda kupigana Vietnam, kwahiyo kitendo kile kilimtengenezea mizengwe serikalini. Baadhi ya mizengwe hiyo ni (a) kufunguliwa kesi kumbuka kitendo cha kukataa kwenda vitani kupigania taifa lake miaka ile ilikuwa ni kosa kisheria, (b) kupigwa marufuku ya kupigana nchini kwao Marekani, (c) kuanza kuwekwa ktk list ya wanaharakati ambao walionekana ni maadui wa ndani wa Marekani kipindi hicho.
I mean kulikuwa na mambo mengi ambayo yalimchanganya na kumfanya ashindwe baadhi ya mapambano. Fikiria mtu ukiwa ktk situation aliyokuwa nayo yeye dhidi ya serikali yake na nchi yake mwenyewe.
Hata ingekuwa ww ungejiweka ktk hali gani mkuu. Hapo chini baadhi ya picha ya mapambano tofauti Mohammad Ali akimuadhibu Joe Frazier kama mtoto wake.
Unaweza kumchukulia Ali poa kama haujipi muda wa kumjua vizuri huyu mwamba, na sababu za kushindwa kwake zilitokana na nini.
Sijawahi ona bondia wa uzito wa juu mwenye mapigo ya Mike Iron Tyson. Tofauti na Ali ambaye alikua Mwanaharakati dhidi ya ubaguzi na Vita Kwa Mike yeye alikua mtu asiyejali mwenye vurugu Mara kadhaa akituhumiwa kubaka, kupigana mashabiki na hata Polisi.Ya ni kweli mkuu, hata mimi namkubali sana tena sana Tyson, ulimwengu wa masumbwi kamwe hauwezi kuja kumsahau abadani.
Ila ndio hivyo kwa vile Ali alitangulia kujijengea heshima yeye na mchezo mzima wa masumbwi basi acha heshima iendelee kubaki kwake tu japo hilo haliwezi kumuathiri wala kumpunguzia pia heshima na sifa Mike Tyson.
Sijazungumzia kupigwa kwa Ali ili kumtetea Tyson Bali nimeandika Hili kujibu TU juu ya kile wengi waaminicho Cha " unbeatable Ali".Kwani Tyson hakupigwa? Tena kapigwa hadi na bums kama James Buster Douglas na Kenneth MacBride.