Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya ni kweli mkuu, heshima ya Bob Marley hapa Afrika, Asia na duniani kwa ujumla ni kubwa mara kumi zaidi ya hayati George Washington (baba wa taifa la Marekani)Hata mimi nilikuelewa sana, lakini hawa bado huwezi kuweka boxi moja na Bob, yule Rasta amekua kama nabii na si tu umaarufu kama hawa wengine, yule anachukuliwa kama prophet, alikua na maneno mazito kama ya manabii wa MUNGU wa kale na si tu kuimba kiasi umlinganishe na mcheza ngumi, mcheza mpira na mwanamuziki anayeimba mambo ya kawaida ya Dunia, Bob ni level tofauti na ndiyo maana unaona uliowataja wengine wanapotea, lakini Marley anaishi toka ameondoka
Mkuu Dadii Toka mwanzoni mwa miaka ya 90 mimi nilikuwa mfuatiliaji mkubwa wa miziki, michezo na mambo mbali mbali yaliokuwa yanafanyika nchini na duniani kwa ujumla. Japo nilikuwa na umri mdogo, lkn nilikuwa na akili au uwezo wa kutambua kila kinachoendelea ktk nchi yetu na dunia yetu kwa ujumla. So naielewa historia ya hawa hisani vizuri.We jamaa bhana umenikumbusha mbali hao wa mnanda walikuwa wanaitwa Hisani gari kubwa ndio waliimba hizo nyimbo...kumbe zao manzese ccm na mburahati huko....miaka ya 90...we kweli mwamba.
Hapo umesahau jon bocco tupende vya kwetu ,,[emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna king wawili kwenye tasnia. Hapo kwenye mpira tayari kaishabana mzee Pele wa brazil toka miaka hiyo. Hata waliotaka na Maradonna aongezwe walichemsha, sembuse ije kuwa bwana mdogo Mesi??
Ya rap yake haikuwa na ujumbe unaohusu mambo muhimu kama ilivyo kwa Prof J. Lkn kwa free style ya papo kwa papo Ngweir alikuwa na uwezo wa kuimba kuhusu chochote na wakati wowote.Rap ya Ngwair ni rap katuni haina substance
Ali kapigwa Mara kadhaa eg na Smokin Joe Fraziersahihi KABISA,muandishi alinistua alipoandika kuwa "rekodi" anazoshikilia hazijavunjwa nikawa Nina hamu ya kujua hizo rekodi huenda nilikuwa sijui ..
Ok mkuu, vipi kuhusu mwamba Kizota?madaraka selemani hata kwa kibadeni haingii...mpaka mtu kaitwa King Mputa sio jambo dogo...hata kwa Zamaoyoni Mogella Golden Boy haingii. Alafu Madaraka National Team hajafanya kazi ilee na Simba kama alikuja malizia mpira tu...Madaraka alikuwa wa moto Majimaji ya songea kisha akaenda zake uarabuni ndio kaja Simba.
Huyo alikuwa fundi sanaOk mkuu, vipi kuhusu mwamba Kizota?
Aisee upo sahihi sanaNdugu, Bob Marley ni level tofauti sana na hawa,ukivuta kumbukizi na kufatilia hata kama ni binadamu kama hawa lakini yeye alikua na kitu special zaidi, elewa ya kwamba Peter Tosh alikua mwamba wake sana ktk tunzi za muziki lakini Marley alitunukiwa kivingine kuleta ushawishi duniani
Ukimuondoa Yesu na Mohammed ni huyu Bob Marley anayefuata kwa kua na watu wengi zaidi duniani kama wafuasi na wwaliofatilia maisha yake, toka amefariki 1981,kuanzia hapo mpaka leo kaburi lake na makao yake ni eneo linalotembelewa na tu karibu kila siku ama kila wiki toka kipindi hicho mpaka leo hii
Hii inamfanya kua tofauti na hawa kina Alli, maana kidogo kidogo wanaanza kupotea lakini si Bob,fatilia utajua
Wa hovyo naona jiwe atakuwa ndio rais waoFanyeni tupate na list ya watu wa hovyo kuwahi kutokea duniani
Ali katika mapambano matatu na Joe Frazier kashinda mawili na yeye kapoteza moja.Ali kapigwa Mara kadhaa eg na Smokin Joe Frazier