Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo mabondia wa bongo hawana tofauti na wasanii wa bongo fleva. Anawika mwaka huu tu afu mwaka ujao chali anatepeta na kupotea kisha anakuja mwengine.Mandingo nae sio mtu poa,asisahaulike kwenye ufalme tafadhali
Huyu Michael Phelps anaogelea kwa speed kuliko hata samaki papa. Kwa bongo wamjazie mangwea1. Usain Bolt
2. Michael Phelps
3. Michael Jackson
Ngwair hawezi kuvaa viatu vya profesa JHuyu Michael Phelps anaogelea kwa speed kuliko hata samaki papa. Kwa bongo wamjazie mangwea
Huyu mzee alikuwa anasimamia nidhamu sana pale Jehanamu, kwa hYa hata mimi huyu mzee namkubali. Wakati wake alifanya mambo makubwa sana kweny club yake, japo sometimes alikuwa anapoteza kweny baadhi ya mechi.
Nashukur mkuu kwa kuongezea legend mwingine.
Jack Chen???Ya hakika hawa ma legendary wawili Mike Tyson na Lucky Dube walijitahidi kuwa na miguu iliyokaribia kuenea viatu vya wafalme wao, pia hata kwa upande wa Bruce Lee wanasema legendary mungine ni Jackie Chan nae ni moto wa kuotea mbali, ila ndo hivyo walikuwa na vidole vifupi kwahiyo viatu havikuwatosha vizuri.
Ngwea ni sawa mzee, naunga mkono hojaHuyu Michael Phelps anaogelea kwa speed kuliko hata samaki papa. Kwa bongo wamjazie mangwea
kabeba WC ngapi?Why not MESSI?
Hahaha jamaa kasi yake majini utafikiri ni nyambizi ya jeshi la Marekani.Huyu Michael Phelps anaogelea kwa speed kuliko hata samaki papa. Kwa bongo wamjazie mangwea
Hata mimi nilikuelewa sana, lakini hawa bado huwezi kuweka boxi moja na Bob, yule Rasta amekua kama nabii na si tu umaarufu kama hawa wengine, yule anachukuliwa kama prophet, alikua na maneno mazito kama ya manabii wa MUNGU wa kale na si tu kuimba kiasi umlinganishe na mcheza ngumi, mcheza mpira na mwanamuziki anayeimba mambo ya kawaida ya Dunia, Bob ni level tofauti na ndiyo maana unaona uliowataja wengine wanapotea, lakini Marley anaishi toka ameondokaMkuu nakubaliana na ww kwamb Bob Marley ana heshima kubwa sana ukimlinganisha na hao wengine.
Lkn post yang haikuwa ya kumlinganisha na hao ma legendary wengine, bali ilikuwa inazungumzia wasanii na wanamichezo mbali mbali walioacha alama kubwa ktk tasnia zao, ndio nikagawa makundi kwa upande wa mziki na makundi kwa upande wa michezo.
Mfano kwenye michezo nimeweka makundi ma3 na wafalme wao hapo chini [emoji116]
1) Boxer au masumbwi- Mohammad Ali.
2) Kung Fu au karate- Bruce Lee.
3)Basket ball- Michael Jordan.
Kwa upande wa mziki nimeweka makundi ma3 na wafalme wao hapo chini [emoji116]
1) Reggae- Bob Marley.
2) Pop music- Michael Jackson.
3) Rap& Hip hop- 2Pac Shakur.
Nafikiri hapo utakuwa umeelewa mkuu!
We jamaa bhana umenikumbusha mbali hao wa mnanda walikuwa wanaitwa Hisani gari kubwa ndio waliimba hizo nyimbo...kumbe zao manzese ccm na mburahati huko....miaka ya 90...we kweli mwamba.Hakika umeandika maneno mazuri sana mkuu. Muziki wetu ulianza kumezwa baada ya ujio wa kina Mr 11 (sugu) mnamo mwanzoni mwa miaka ya 90.
Jamaa alikuwa anasikiliza nyimbo za kina 2Pac afu anazibadilisha kwa kiswahili, vijana wanafurahi wanaona ujanja. Ikaenda ikaenda mwisho vijana wengi wakaingia kwenye mkumbo huo wa muziki wa wenzetu, na kuuendeleza hadi leo. Wanachofanya ni kubadili majina tu ili uonekane ni mziki wa nyumban.
Mara hip hop bongo, mara bongo fleva nk.
Wengine waliotuingiza chaka japo sio ile kivile ni hawa sijui twanga pepeta ya kina marehemu banza, ali choki, muumin mwinjuma nk.
Nao hiyo singeli ndo afadhali kidogo imesimama ktk nafasi ya mnanda au mchiriku kama wengi tulivyokuwa tunaita miaka hiyo. Mziki huu ulionekana wa kihuni, japo baadae baada ya wale vijana wa garikubwa kule mw/nyamala kuja na vibao vya akili kama vile raisi wetu hodari Ali Mwinyi, uko wapi mama nk.
Dah mziki wetu ushaondoka na ma legend wetu.
Too soon to tellJiandae kuja kuongeza jina la Lione MESSI.
Rap ya Ngwair ni rap katuni haina substanceKwa upande wa free style nafikiri Ngwair alikuwa moto wa kuotea mbali zaidi ya Profesa J.
sahihi KABISA,muandishi alinistua alipoandika kuwa "rekodi" anazoshikilia hazijavunjwa nikawa Nina hamu ya kujua hizo rekodi huenda nilikuwa sijui ..Ali Hana rekodi za kutisha kuliko wengine woote. Lakini ulingoni alikua na mbinu za kipekee alipowapiga wapinzani wake .
Tofauti na Hilo Ali ( Calsius Clay) alikuwa socialite was kipindi hicho
Pia mwanaharakati dhidi ya ubaguzi wa Rangi.
Mwanaharakati dhidi ya Vita hasa Vietnam. Ali alikataa kwenda Vietnam akachagua kwenda jela.. anasema Kwamba haikua vyema kuwapiga watu walio maelfu ya km kutoka nyumbani (Marekani) bila sababu ya msingi.
Hili likapelekea Ali kuanza kukubali a Duniani kote kwa kitendo hiki.
Mbinu za upiganaji.
Ali alikua mpiganaji mwenye mbinu za kuchekesha kuburudisha Sana.
Ali alikua mzungumzaji mwenye ushawishi na hasa vituko anapojigamba dhidi ya mpinzani wake.
Duh Ali ana mengi Sana.
NAOMBA tafsiri ya rap katuni na unipe nyimbo za ngwair alizofanya ambazo zinathibitisha alifanya rap katuniRap ya Ngwair ni rap katuni haina substance
Sasa hivi mnanda Hauna Tena thamani japo band za uswahilini zipo na wanajitahidi Sana kuufikisha mbali lakini wanakwama kiuchumi na watu wa kuwaamini,nikikaa vizuri nitaurudisha kwa ramani maana NI nzuri na wameboresha maudhui na unasikilizika hata kuchezeka piaHakika umeandika maneno mazuri sana mkuu. Muziki wetu ulianza kumezwa baada ya ujio wa kina Mr 11 (sugu) mnamo mwanzoni mwa miaka ya 90.
Jamaa alikuwa anasikiliza nyimbo za kina 2Pac afu anazibadilisha kwa kiswahili, vijana wanafurahi wanaona ujanja. Ikaenda ikaenda mwisho vijana wengi wakaingia kwenye mkumbo huo wa muziki wa wenzetu, na kuuendeleza hadi leo. Wanachofanya ni kubadili majina tu ili uonekane ni mziki wa nyumban.
Mara hip hop bongo, mara bongo fleva nk.
Wengine waliotuingiza chaka japo sio ile kivile ni hawa sijui twanga pepeta ya kina marehemu banza, ali choki, muumin mwinjuma nk.
Nao hiyo singeli ndo afadhali kidogo imesimama ktk nafasi ya mnanda au mchiriku kama wengi tulivyokuwa tunaita miaka hiyo. Mziki huu ulionekana wa kihuni, japo baadae baada ya wale vijana wa garikubwa kule mw/nyamala kuja na vibao vya akili kama vile raisi wetu hodari Ali Mwinyi, uko wapi mama nk.
Dah mziki wetu ushaondoka na ma legend wetu.
Ongeza Pele wa BrazilZa asubuhi wakuu, leo nakuja na makala ya watu maarufu duniani, ambao wameacha alama kubwa katika tasnia zao na mpaka leo hakuna alietokea kuziba mapengo yao.
1) Mohammedi Ali
Huyu ni bingwa, mbabe na mtemi wa masumbwi ulimwenguni kote. Mohammed Ali ambae alizaliwa 17 January 1942, huko Louisville, Kentucky Marekani na kufariki 3 June 2016, huko Scottsdale, Arizona Marekani. Alikuwa ni bondia wa pekee kuufanya mchezo huo uwe na wapenzi na waangaliaji wengi ulimwenguni.
Licha ya kwamba mchezo huo ulikuwepo maelfu ya miaka kabla ya ujio wake Ali, lkn ni yeye ndio aliefanya watu waanze kuupenda zaidi mchezo huo na kuchukua nafasi ya pili kwa kupendwa duniani baada ya mchezo wa mpira wa miguu. Ali ambae alikuwa na uwezo mkubwa wa kumiliki ulingo, kukwepa ngumi, na mwepesi wa kupiga ngumi za haraka haraka. Lakini pia alikuwa na mbinu nyingi za kuweza kumchosha na kummaliza kbs mpinzani wake wakati wowote alioutaka yeye ulingoni.
Ali alikuwa na uwezo wa kumsogezea mpinzani sura, lkn utashangaa hadi round nzima inaisha bila mpinzan wake kufanikiwa kumpiga ngumi hata 1 tu usoni (kama tuonavyo pichani) sometimes unakuta mpinzani wake anarusha ngumi (kota) na kuanguka mwenyewe, huku Ali akimtizama kwa dharau 😂😂🤣🤣
Pamoja na yote lkn kama ilivyo michezo mingine na yey kuna muda alikuwa anapoteza baadhi ya mapambano pia, aidha kwa kutokana na mchoko wa mazoezi makali anayokuwa amefanya kabla ya pambano nk. Toka Ali alipostaafu ngumi mpaka kifo chake, hakuna bondia ambae ashawahi kufikia rekodi ya upiganaji wake na vituko vyake awapo ulingoni na nje ya ulingo.
Mabondia wengi kama kina Mike Tyson, Evander, Lenox Lewis na wengineo walikuwa wanakwenda kumuona na kupata mbinu mbali mbali za kupigana ulingoni kupitia mfalme huyo wa ngumi ulimwenguni. Huyu ndio Mohammed Ali alieacha alama kubwa ktk mchezo huo maarufu wa ngumi duniani. Hakuna na hatotokea Mohammed Ali mungine, Never.
Mungu ailaze roho ya huyu Legend mahali pema peponi.
View attachment 2335340
2) Bob Marley
Bob Marley alizaliwa 6 Feb 1945, huko Nine Mile, Jamaica, na kufariki 11 May 1981, huko Florida Marekani.
Alipozaliwa aliukuta mzikiwa reggae ukiwa ulimwenguni miaka na miaka. Lkn kwa kipaji chake na uwezo wake akaanza kuleta mabadiliko makubwa katika mziki huo, hadi kufikia hatua ya kusikilizwa na viongozi wakubwa wa nchi mbali mbali. Japo kulikuwa na waimbaji wengine wakubwa kama kina Peter Tosh, Burn Spear nk, lkn ni yeye Bob Marley ndio aliefanya reggae ipendwe na walio wengi. Hadi anakufa Bob Marley aliacha muziki huo ukiwa na mamilioni ya wasikilizaji ulimwenguni.
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
View attachment 2335341
3) Bruce Lee
Bruce Lee alizaliwa 27 Nov 1940, huko San Francisco, California Marekani na kufariki 20 July 1973 huko Kow loon Tong, Hong Kong.
Bruce alizaliwa na kuukuta mchezo wa kung fu au karate ulimwenguni. Lakini kwa kipaji alichozaliwa nacho, alianza kuleta mabadiliko makubwa kwenye mchezo huo hadi kushawishi mamilioni ya watu ulimwenguni kuupenda na kuanza kuufuatilia mchezo huu. Bruce alikuwa na uwezo mkubwa wa kucheza na hisia za adui na kujua ni wapi atapopiga lazima adui atakaa tu hata awe na mwili kama jumba.
Ikafika kipindi watu wakamshauri ajiunge kwenye tasnia ya uigizaji ili kuwavutia watu zaidi kuupenda mchezo huo, lkn pia kujifunza baadhi ya mbinu za upambanaji kupitia movie zake. Mpaka toka Bruce afariki mpaka leo bado anapewa heshima kubwa na magwiji wa mchezo huo wakiwemo wacheza sinema kama vile Jackie Chan, Jet Lee nk. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
View attachment 2335338
Wanaofuatia ni 👇
4) Michael Jackson king wa Pop na mitelezo.
5) 2pac Shakur king wa Hip hop aliekuwa haiogopi serikali ktk kuwatetea wamarekani weusi wenzake na jamii nyingine zilizobaguliwa nchini Marekani, pia alipambana sana na polisi kuhusu unyanyasaji wowote uliofanywa na jeshi hilo kwa vijana mbali mbali hadi alipouwawa. Aliwahi kuwa na kesi ya kuwashambulia polisi wawili na bunduki, baada ya 2pac kupita sehem na gari aliwakuta polisi wakiwa wamemfunga pingu mtu mweusi huku wanampiga, kitendo kile kilimuuzi 2pac ndipo alipoamua kutoa bastola yake na kuwashambulia polisi, japo baadae polisi wale waliwahishwa hospital na kupona.
Katika kesi ile 2pac hakuhukumiwa baada ya kuonekana kuwa wale polisi walikuwa na makosa ya kiutendaji kwa mtuhumiwa waliekuwa wamemkamata.
Mungu awalaze roho zao mahali pema peponi.
6) Michael Jordan
Mzee wa kudumbukiza kikapuni. Huyu alikuwa na uwezo wa kuruka juu zaidi na kuonekana kama ameganda kwa sekunde kadhaa hewani kabla ya kutia mpira kapuni na kushuka chini. Toka astaafu bado hajapatikana Jordan mungine, japo bwana mdogo hayati Kobe Bryant alijitahidi kwa namna fulan, lkn bado hakufikia kule alipofikia mzee wa kazi.
View attachment 2335342
Hawa ni baadhi ya watu ambae mpaka leo viatu vyao viko wazi, havijapata wa kuvivaa vikawatosha.
madaraka selemani hata kwa kibadeni haingii...mpaka mtu kaitwa King Mputa sio jambo dogo...hata kwa Zamaoyoni Mogella Golden Boy haingii. Alafu Madaraka National Team hajafanya kazi ilee na Simba kama alikuja malizia mpira tu...Madaraka alikuwa wa moto Majimaji ya songea kisha akaenda zake uarabuni ndio kaja Simba.1) Mohammad Ali
2) Bob Marley
3) Bruce Lee
4) Michael Jordan
5) Michael Jackson
6) 2pac Shakur
The Greatest of All Time- GOAT
Tukija Tanzania tuna hawa chini:
1) Julius Nyerere - Uhuru wa nchi yetu.
2) Marijani Rajabu - mziki
3) Madaraka Selemani - soka
4) Malkia Khadija Kopa - taarab