Hawa ni watu maarufu duniani ambao viatu vyao vimekosa mvaaji

Mandingo nae sio mtu poa,asisahaulike kwenye ufalme tafadhali
Tatizo mabondia wa bongo hawana tofauti na wasanii wa bongo fleva. Anawika mwaka huu tu afu mwaka ujao chali anatepeta na kupotea kisha anakuja mwengine.
So mtu wa aina hii hawezi kuwa na sifa za kuitwa legend hata mtaani kwao.
 
Ya hata mimi huyu mzee namkubali. Wakati wake alifanya mambo makubwa sana kweny club yake, japo sometimes alikuwa anapoteza kweny baadhi ya mechi.
Nashukur mkuu kwa kuongezea legend mwingine.
Huyu mzee alikuwa anasimamia nidhamu sana pale Jehanamu, kwa h
Jack Chen???
Acha masihara mzee baba why asiwe Don Yen
 
Huyu Michael Phelps anaogelea kwa speed kuliko hata samaki papa. Kwa bongo wamjazie mangwea
Hahaha jamaa kasi yake majini utafikiri ni nyambizi ya jeshi la Marekani.
Ngwear nae alikuwa fit na tishio, kwa upande wa free style hana mpinzani nchini.
 
Hata mimi nilikuelewa sana, lakini hawa bado huwezi kuweka boxi moja na Bob, yule Rasta amekua kama nabii na si tu umaarufu kama hawa wengine, yule anachukuliwa kama prophet, alikua na maneno mazito kama ya manabii wa MUNGU wa kale na si tu kuimba kiasi umlinganishe na mcheza ngumi, mcheza mpira na mwanamuziki anayeimba mambo ya kawaida ya Dunia, Bob ni level tofauti na ndiyo maana unaona uliowataja wengine wanapotea, lakini Marley anaishi toka ameondoka
 
We jamaa bhana umenikumbusha mbali hao wa mnanda walikuwa wanaitwa Hisani gari kubwa ndio waliimba hizo nyimbo...kumbe zao manzese ccm na mburahati huko....miaka ya 90...we kweli mwamba.
 
sahihi KABISA,muandishi alinistua alipoandika kuwa "rekodi" anazoshikilia hazijavunjwa nikawa Nina hamu ya kujua hizo rekodi huenda nilikuwa sijui ..
 
Rap ya Ngwair ni rap katuni haina substance
NAOMBA tafsiri ya rap katuni na unipe nyimbo za ngwair alizofanya ambazo zinathibitisha alifanya rap katuni

professor j alikuwa ana maudhui makubwa Sana na YENYE mashiko(storyteller)mzuri Sana kwenye kuelimisha

ngwair alikuwa hivyo lakini alibase on commercial (more of entertaining ) zaidi kuliko kuelimisha ,ukimaliza na flows zake Basi kabisaaa
 
Sasa hivi mnanda Hauna Tena thamani japo band za uswahilini zipo na wanajitahidi Sana kuufikisha mbali lakini wanakwama kiuchumi na watu wa kuwaamini,nikikaa vizuri nitaurudisha kwa ramani maana NI nzuri na wameboresha maudhui na unasikilizika hata kuchezeka pia
 
Ongeza Pele wa Brazil
 
madaraka selemani hata kwa kibadeni haingii...mpaka mtu kaitwa King Mputa sio jambo dogo...hata kwa Zamaoyoni Mogella Golden Boy haingii. Alafu Madaraka National Team hajafanya kazi ilee na Simba kama alikuja malizia mpira tu...Madaraka alikuwa wa moto Majimaji ya songea kisha akaenda zake uarabuni ndio kaja Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…