Hawa NIDA kweli hawajui wafanyalo au watakalo?

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Posts
11,680
Reaction score
6,382
Wamesema mwisho wa matumizi ya namba may mosi, tunachakarika kuchukua vitambulisho na bado hawatupi, leo ni siku ya pili nashinda gongo la mboto kuanzia asubuhi mpaka jioni kitambulisho hakionekani

Kuna mwengine hapa anataka kumchukulia mdogo wake aliyehamia kanda ya ziwa anaambiwa hadi mwenyewe aje, hivi kweli mtu atoke kanda ya ziwa kufata kitambulisho ambacho ni haki yake na amemtuma kaka yake? Hiyo nauli mnamlipia?
 
CCM oyeee
 
Ni hatari. Tanzania mambo yote ni siasa. Maneno wanayoyatoa mawaziri kwenye vyombo vya habari, na uhalisia Jimboni/katani/wilayani ni mwingine kabisa. Hapa ndipo Samia anahitajiwa kuparekebisha.
 
NIDA Tanzania
Kwa nini mnatusumbua? Hivi kitambulisho tangu 2018 na kila mwezi nafuatilia na bado hakionekani? Sasa kwanini mnafungia namba wakati nyie ndio mumeshindwa kusupply?

Leo ni siku ya pili naamka na kushinda gongo la mboto ofisini kwenu na bado manatutesa?

Hivi mnadhani hatuna kazi za kufanya?

Ngoja aje mtu sahihi ashike inchi tutawakomesha nyie
 
Tayari nina passport, driving license, NHIF, Voter's, nina TIN, PAYE, SIM cards, jina langu linasoma Tanesco, Dawasco, mnakusanya kodi ya majengo kwa kutumia jina hilo hilo....

Umenipa namba ya NIDA kwakuwa ulishindwa kufyatua vitambulisho kwa wakati, namba ni valid na imetumika kusajili sim cards.

Unaposema unasitisha matumizi ya namba, una maanisha?
- Vile vyote vilivyosajiliwa kwa hiyo namba vinasitishwa?

Kipi ni valid, vipande au namba?
  • Vimekoselewa na mamlaka husika, mara vyenye saini na visivyo na saini.
  • Mara vyenye expiration na vya mìlele.

Acheni uchizi, kama mlishahalalisha matumizi ya namba, achaneni na vipande!

Tunakoenda, hata Driving license haina maana kama namba ipo valid na paid for!

Si ndo maana tunaenda kwenye cashless au?
 
Hakuna jambo lenye maslahi kwa watanzania, CCM imewahi kusimamia likafanikiwa. They are stomach oriented.
Badala wasambaze au watanue huduma kwa raia dar es salaam, wao wameenda kukusanya kadi za jiji zima pale gongo la mboto ofisini kwao, yaani huu ni ujinga wa kiwango cha rocket tanzania,

Ila kugawa majimbi kwa ajili ya kura wanaweza, hizi kweli ni tope zilizochanganyika na uji wa muhogo
 
Tayari nina passport, driving license, NHIF, Voter's, nina TIN, PAYE, SIM cards, jina langu linasoma Tanesco, Dawasco, mnakusanya kodi ya majengo kwa kutumia jina hilo hilo....

Umenipa namba ya NIDA kwakuwa ulishindwa kufyatua vitambulisho kwa wakati, namba ni valid na imetumika kusajili sim cards.

Unaposema unasitisha matumizi ya namba, una maanisha?
- Vile vyote vilivyosajiliwa kwa hiyo namba vinasitishwa?

Kipi ni valid, vipande au namba?
  • Vimekoselewa na mamlaka husika, mara vyenye saini na visivyo na saini.
  • Mara vyenye expiration na vya mìlele.

Acheni uchizi, kama mlishahalalisha matumizi ya namba, achaneni na vipande!

Tunakoenda, hata Driving license haina maana kama namba ipo valid na paid for!

Si ndo maana tunaenda kwenye cashless au?
Inchi ya wajinga lolote linawezekana,

Mshkaki shilingi mia
Kilo ya nyama shilingi mia
Ng'ombe mzima shilingi mia

Chukua tahadhari kubadilisha mifumo hawa si kazi kwao, wajinga wajinga sana
 
Ni hatari. Tanzania mambo yote ni siasa. Maneno wanayoyatoa mawaziri kwenye vyombo vya habari, na uhalisia Jimboni/katani/wilayani ni mwingine kabisa. Hapa ndipo Samia anahitajiwa kuparekebisha.
Siyo samia arekebishe, ni mfumo mzima wa kikatiba na sheria unatakiwa kurekebishwa na watanzania wote. Kwa mfumo na katiba tuliyonayo sasa hata akija malaika bado hatutoboi!
 
Na kweli hata mimi naanza kuona umuhimu wa katiba mpya aisee, ila sio kwa gharama ya fujo
 
Back
Top Bottom