Hawa NIDA kweli hawajui wafanyalo au watakalo?

Wamesema mwisho wa matumizi ya namba may mosi, tunachakarika kuchukua vitambulisho na bado hawatupi, leo ni siku ya pili nashinda gongo la mboto kuanzia asubuhi mpaka jioni kitambulisho hakionekani

Kuna mwengine hapa anataka kumchukulia mdogo wake aliyehamia kanda ya ziwa anaambiwa hadi mwenyewe aje, hivi kweli mtu atoke kanda ya ziwa kufata kitambulisho ambacho ni haki yake na amemtuma kaka yake? Hiyo nauli mnamlipia?
Utaratibu wa kumchukulia mtu upon nadhani labda jamaa anataka rushwa.
 
Unaposema au kuamuru au kushawishi watu wasipige kura hivi hauwezi kusababisha fujo?

Angalieni chanzo na muwe huru
Hapana. Kama upigaji kura siyo huru na haki, kuna sababu gani ya kwenda kupiga kura? Hiyo ni elimu tu inatolewa ili watu wajue kama viongozi wanaopatikana kwenye uchaguzi na wale ambao wao wamewapigia kura kweli au kuna namna ya kubadilisha matokeo kupitia wasimamizi ambao ni sehemu washindani.
 
Ni kweli, leo ndio kuna askari hapa ffu ameniita kando na kuniambia nijiongeze, ngija nisikilizie wanataka ngapi
Kuna mtu alikuwa Yuko mbali anahitaji hicho kitambulisho, nilimsaidia kumtafutia mtu wa mkoa huo kilipo akafika ofisini wakampa utaratibu. Yeye akaacha vithibitisho vyake na akaonyesha ile sms ya yule mwenye kitambulisho aliyotumiwa. Basi akakichukua. Ile ofisi inaonekana hawakuwa na njaa kama hao wajomba wa gomzi.
 
Hapana. Kama upigaji kura siyo huru na haki, kuna sababu gani ya kwenda kupiga kura? Hiyo ni elimu tu inatolewa ili watu wajue kama viongozi wanaopatikana kwenye uchaguzi na wale ambao wao wamewapigia kura kweli au kuna namna ya kubadilisha matokeo kupitia wasimamizi ambao ni sehemu washindani.
Ukakasi unakuja kwamba tuliishi miaka sita hapa, tangu 2015 mpaka 2021,wacha kuleta kauli za tafrani kama hizi bali hata vikao vya ndani vilizuiwa na hakuna aliyethubutu kuinua hata mdomo kusema, vije sasa?

Makosa mengine ni ya kujitakia, kuna watu na wakati inabidi uwe vile wanavyotaka, huruma huleta mazoea wakati mwengine
 
Uongozi ni dhamana tu. Nchi inahitaji nawazo tofauti ya wananchi kulingana na mahitaji yao. Kuwazuia watu wasiongee au kukosoa viongozi wanapokosea ni sawa utumwa tu. Ukiwa kiongozi ukasikia sauti za watu wanataka mabadiliko, jua kuna sehemu hakuko sawa kwenye sheria au mfumo wetu. Suluhisho ni kukaa chini na wanaopiga kelele ili kuona namna bora ya kufikia makubaliano.
 
Sasa hao wapinzani wa sasa ndio hawataki kukaa meza moja

Wanadhani watamuamrisha kila mtu kwa kuwa tu ni wapinzani?

Uungwana ni vitendo ila wao wanataka kutumia nguvu, kwanini wasipitie njia sahihi?
Mamlaka na iheshimiwe kwa kufuata utaratibu
 
Sasa unalialia nini hapa kuhusu kitambulisho Cha nida wakati unatakiwa kuheshimu mamlaka na kufunga hilo Domo lako
 
Ni hatari. Tanzania mambo yote ni siasa. Maneno wanayoyatoa mawaziri kwenye vyombo vya habari, na uhalisia Jimboni/katani/wilayani ni mwingine kabisa. Hapa ndipo Samia anahitajiwa kuparekebisha.
Yeye mwenyewe samia ameshindwa kujirekebisha, ndio ataweza kurekebisha hiyo mizigo yake ?
 
Wamesema mwisho wa matumizi ya namba may mosi, tunachakarika kuchukua vitambulisho na bado hawatupi, leo ni siku ya pili nashinda gongo la mboto kuanzia asubuhi mpaka jioni kitambulisho hakionekani

Kuna mwengine hapa anataka kumchukulia mdogo wake aliyehamia kanda ya ziwa anaambiwa hadi mwenyewe aje, hivi kweli mtu atoke kanda ya ziwa kufata kitambulisho ambacho ni haki yake na amemtuma kaka yake? Hiyo nauli mnamlipia?
Hao wanataka ulaji mimi nipo dar nilichukuliwa kitambulisho mwanza unaenda na namba yake ya nida na namba ya simu aliyojiandikisha nayo anapewa bure
 
Tayari nina passport, driving license, NHIF, Voter's, nina TIN, PAYE, SIM cards, jina langu linasoma Tanesco, Dawasco, mnakusanya kodi ya majengo kwa kutumia jina hilo hilo....

Umenipa namba ya NIDA kwakuwa ulishindwa kufyatua vitambulisho kwa wakati, namba ni valid na imetumika kusajili sim cards.

Unaposema unasitisha matumizi ya namba, una maanisha?
- Vile vyote vilivyosajiliwa kwa hiyo namba vinasitishwa?

Kipi ni valid, vipande au namba?
  • Vimekoselewa na mamlaka husika, mara vyenye saini na visivyo na saini.
  • Mara vyenye expiration na vya mìlele.

Acheni uchizi, kama mlishahalalisha matumizi ya namba, achaneni na vipande!

Tunakoenda, hata Driving license haina maana kama namba ipo valid na paid for!

Si ndo maana tunaenda kwenye cashless au?
cc NIDA Tanzania
 
Sasa unalialia nini hapa kuhusu kitambulisho Cha nida wakati unatakiwa kuheshimu mamlaka na kufunga hilo Domo lako
Ila sijaingia barabarani wala sitafanya fujo,
Nafata utaratibu,

Kama umenisoma ukaelewa nimesema kwamba mapungufu yapo na kwa yeyote yule mapungufu yatawepo sasa tunaangalia wapi ni wapi

Na tatizo hao jamaa zako hawaaminiki, wengi ni mapandikizi

Rudia ya mrema, lipumba, mtei, mbowe, cheyo na hata yeye huyo lisu kipindi cha kikwete na magu

Jamaa wanakutumiaaaaa wakikuchoka wanakuweka wazi tena uchi

Mwangalie slaa alivyofanya 2015,
Angalia lowasa alivyofanya 2015 na kina lisu na mbowe wakiwepo

Mpinzani wa kweli bado hayupo
 
Ndio nimekuambia unalialia nini sikiliza mamlaka funga Domo usiifundishe kazi serikali
 
Nimekwambia silii, mbona unalazimisha?

Ninachofanya ndio sahihi ili kuwaamsha kidogo wanapojisahau

Ccm daima
 
Nida watumie tehama kueleza kitambulisho kiko wapi, watume sms au wapige simu au watumie uwakala wa posta kuvisafirisha na kuvikabidhi kwa wahusika
 
Ndio sahihi, ila wao wamevikusanya sehemu moja vitambulisho vyooote,

Nahuko mtandaoni ukiingia hupati mwongozo
Yaani mambo ni vurugu mechi
 
Back
Top Bottom