Hawa NIDA kweli hawajui wafanyalo au watakalo?

Hawa NIDA kweli hawajui wafanyalo au watakalo?

Jamaa wamezingua sana kumbe wanataka posho tu, jirani yangu hapa amenidokeza

Mnanishaurije?
 
Kwenda na kurudi kutoka kariakoo na boda ni elf kumi
Kwa siku mbili twenty imeenda
 
Na hivyo vitambulisho wanavyo force watu watumie vinabanduka maandishi ovyo.

Changu kimebaki card tupu, hakuna andishi hata moja
Nami pia wangengeneza kama zile kadi za mpiga kura,nina kadi ya mwaka 2015 hadi leo iko vizuri,kitambulisho cha nida kina miezi sita tu tangu nichukue kimeshafutika maandishi
 
Nakumbusha tu NIDA ni taasisi ya serikali ile ile ya awamu ya 6.
sio ya chadema.
Pongezi kwa mama
Mama anaupiga mwingi mwingi
 
Na kweli hata mimi naanza kuona umuhimu wa katiba mpya aisee, ila sio kwa gharama ya fujo
Wanaotia watu hofu ya fujo kwenye kudai mabadiliko ya kikatiba na kisheria ni watawala. Hawataki tuamini kwamba tunaweza kufanya mabadiliko bila fujo! Angalia jinsi watu walivyojitoa mhanga kutoa elimu ya urai kwa wananchi kupitia 'No reforms no election' bila fujo wala vurugu, lakini watawala wanaingia kiwewe na kudai wanachochea vurugu!
 
Mimi nilijiandikisha mwaka 2021

Mwakajana 2024 nilienda kufata kitambulisho pale temeke usalama

Wakasema bado hakijatoka

Leo hii nipo mkoa wa mbali nauli had dar ni 100k

Kwahyo nauli ya kwenda na kurud naitoa wapi

Hii nchi bhna
 
Wamesema mwisho wa matumizi ya namba may mosi, tunachakarika kuchukua vitambulisho na bado hawatupi, leo ni siku ya pili nashinda gongo la mboto kuanzia asubuhi mpaka jioni kitambulisho hakionekani

Kuna mwengine hapa anataka kumchukulia mdogo wake aliyehamia kanda ya ziwa anaambiwa hadi mwenyewe aje, hivi kweli mtu atoke kanda ya ziwa kufata kitambulisho ambacho ni haki yake na amemtuma kaka yake? Hiyo nauli mnamlipia?
NIDA wanajielewa wao tu, nilijiandikisha 2017 mkoa mwingine kipindi napiga kazi huko mpaka mkataba wa miaka 4 umeisha hakikutoka mpaka wiki 2 zilizopita baada ya miaka 8 ndo nimefanikiwa

Mbaya zaidi vikitoka wanavyolalamika watu hawaji kuchukua wanasahau wao ndio chanzo

Mie kuna mtu amenichukulia mbona, nilichofanya ni kumtumia ile message waliyonitumia kwenye simu na namba ya NIDA na akafanikiwa
 
Wanaotia watu hofu ya fujo kwenye kudai mabadiliko ya kikatiba na kisheria ni watawala. Hawataki tuamini kwamba tunaweza kufanya mabadiliko bila fujo! Angalia jinsi watu walivyojitoa mhanga kutoa elimu ya urai kwa wananchi kupitia 'No reforms no election' bila fujo wala vurugu, lakini watawala wanaingia kiwewe na kudai wanachochea vurugu!
Unaposema au kuamuru au kushawishi watu wasipige kura hivi hauwezi kusababisha fujo?

Angalieni chanzo na muwe huru
 
Back
Top Bottom