pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,680
- 6,382
Ulikipiga picha?Na hivyo vitambulisho wanavyo force watu watumie vinabanduka maandishi ovyo.
Changu kimebaki card tupu, hakuna andishi hata moja
picha za enzi ya uhai wake ninayo, kilipokuwa na maandishi.Ulikipiga picha?
CCM oyeeeWamesema mwisho wa matumizi ya namba may mosi, tunachakarika kuchukua vitambulisho na bado hawatupi, leo ni siku ya pili nashinda gongo la mboto kuanzia asubuhi mpaka jioni kitambulisho hakionekani
Kuna mwengine hapa anataka kumchukulia mdogo wake aliyehamia kanda ya ziwa anaambiwa hadi mwenyewe aje, hivi kweli mtu atoke kanda ya ziwa kufata kitambulisho ambacho ni haki yake na amemtuma kaka yake? Hiyo nauli mnamlipia?
OyeeeCCM oyeee
Adui namba moja wa mwananchi ni ccmOyeee
Adui wa mwanainchi ni mwanainchiAdui namba moja wa mwananchi ni ccm
Na tatizo kubwa wanasema wasiyotendaHakuna watu wasumbufu kama nida
Badala wasambaze au watanue huduma kwa raia dar es salaam, wao wameenda kukusanya kadi za jiji zima pale gongo la mboto ofisini kwao, yaani huu ni ujinga wa kiwango cha rocket tanzania,Hakuna jambo lenye maslahi kwa watanzania, CCM imewahi kusimamia likafanikiwa. They are stomach oriented.
Inchi ya wajinga lolote linawezekana,Tayari nina passport, driving license, NHIF, Voter's, nina TIN, PAYE, SIM cards, jina langu linasoma Tanesco, Dawasco, mnakusanya kodi ya majengo kwa kutumia jina hilo hilo....
Umenipa namba ya NIDA kwakuwa ulishindwa kufyatua vitambulisho kwa wakati, namba ni valid na imetumika kusajili sim cards.
Unaposema unasitisha matumizi ya namba, una maanisha?
- Vile vyote vilivyosajiliwa kwa hiyo namba vinasitishwa?
Kipi ni valid, vipande au namba?
- Vimekoselewa na mamlaka husika, mara vyenye saini na visivyo na saini.
- Mara vyenye expiration na vya mìlele.
Acheni uchizi, kama mlishahalalisha matumizi ya namba, achaneni na vipande!
Tunakoenda, hata Driving license haina maana kama namba ipo valid na paid for!
Si ndo maana tunaenda kwenye cashless au?
Siyo samia arekebishe, ni mfumo mzima wa kikatiba na sheria unatakiwa kurekebishwa na watanzania wote. Kwa mfumo na katiba tuliyonayo sasa hata akija malaika bado hatutoboi!Ni hatari. Tanzania mambo yote ni siasa. Maneno wanayoyatoa mawaziri kwenye vyombo vya habari, na uhalisia Jimboni/katani/wilayani ni mwingine kabisa. Hapa ndipo Samia anahitajiwa kuparekebisha.
Na kweli hata mimi naanza kuona umuhimu wa katiba mpya aisee, ila sio kwa gharama ya fujoSiyo samia arekebishe, ni mfumo mzima wa kikatiba na sheria unatakiwa kurekebishwa na watanzania wote. Kwa mfumo na katiba tuliyonayo sasa hata akija malaika bado hatutoboi!
SahihiNi hatari. Tanzania mambo yote ni siasa. Maneno wanayoyatoa mawaziri kwenye vyombo vya habari, na uhalisia Jimboni/katani/wilayani ni mwingine kabisa. Hapa ndipo Samia anahitajiwa kuparekebisha.