Hawa Tala Tanzania ninyi mnawaelewa?

Kwa mahitaji ya kifedha TALA iko poa,maana itakusaidia pale ulipo banwa.
Ila kimaswala ya faragha sahau,pindi tuu uombapo mkopo na ukatii masharti yao,basi jua kuwa huna faragha/siri tena.

Na pia endapo utafanya makosa ya kimitandao uko hatarini kunaswa kama kuku.

NI HATARI KUJIUNGA TALA,ila kama una shida hunajinsi,

USHAURI;ukiamua kuomba mkopo TALA au BRANCH basi badili mienendo na tabia zako mitandaoni,simu zako,sms zako,picha zako.Maana zinaweza tumiwa wakati wowote zitakapo itajika.

MKOPO MWEMA
 
Write your reply...Mi nilijisajili mpaka leo kimnya ...sijapewa mkopo
 
Hao wakenya na wenzao Branch wako poa sana
 
Kwel nipe namba yako pm nikutumie hela ya mafuta unifwate nilipo maana weekend ndio inaanza hvyo tule eid pili
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] ahsante kwa kweli hela kwa sasa sihitaji ....eti unitumie hela ya mafuta ....hiyo baskeli ya kuchorwa tu kwenye karatasi sina mafuta nipake mwilini lool

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilijaribu Mara moja kuwakopa..mbwa sana wale unalipa deni unaongezewa 10000 ambayo ukija kukopa tena unajikuta umewafaidisha wao wewe wamekukopa 4000...wizi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Madhara ya kutokujua hesabu, hawa jamaa wanatumia udhaifu wa watanzania kujipatia mahela kibao.
 
wako freshi ila wana riba kubwa sana, but they are cool for sure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…