Gyole
JF-Expert Member
- Sep 20, 2013
- 7,008
- 7,059
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me mwanzo walinipa elfu 30 saivi nipo kwenye 900,000/=
Asante njoo tutumie wote maana sina mpango wa kuwalipa
Hahahaha hahahaha ila wewe dahAsante njoo tutumie wote maana sina mpango wa kuwalipa
Hii unalipa kwa miezi mingapi mkuu ?Me mwanzo walinipa elfu 30 saivi nipo kwenye 900,000/=
Kwel nipe namba yako pm nikutumie hela ya mafuta unifwate nilipo maana weekend ndio inaanza hvyo tule eid pili
Silipi hata senti mama,nilikuwa nakopa natoa nakaa siku moja narudisha hivyo hivyo mpaka nimefiia kiwango hiki
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] ahsante kwa kweli hela kwa sasa sihitaji ....eti unitumie hela ya mafuta ....hiyo baskeli ya kuchorwa tu kwenye karatasi sina mafuta nipake mwilini loolKwel nipe namba yako pm nikutumie hela ya mafuta unifwate nilipo maana weekend ndio inaanza hvyo tule eid pili
Madhara ya kutokujua hesabu, hawa jamaa wanatumia udhaifu wa watanzania kujipatia mahela kibao.Nilijaribu Mara moja kuwakopa..mbwa sana wale unalipa deni unaongezewa 10000 ambayo ukija kukopa tena unajikuta umewafaidisha wao wewe wamekukopa 4000...wizi tu
Sent using Jamii Forums mobile app