Rudaguza01
Member
- Aug 11, 2017
- 92
- 37
😀😀😀Tala wananidai 120,000/=
L pesa wananidai 225,000/=
Airtel timiza wananidai 178,000/=
Tigo nivushe wananidai 312,000/=
Branch wananidai 57000/=
Madeni yote yana zaidi ya mwaka hayajalipwa
Tala washanitoa mpaka kwenye Gazeti kama mdaiwa Sugu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna haja ya kutupa lineNinakopa hafu natupa line na kila kitu
a e i o u
Mmmh kwa kweli ww ni mtataTala wananidai 120,000/=
L pesa wananidai 225,000/=
Airtel timiza wananidai 178,000/=
Tigo nivushe wananidai 312,000/=
Branch wananidai 57000/=
Madeni yote yana zaidi ya mwaka hayajalipwa
Tala washanitoa mpaka kwenye Gazeti kama mdaiwa Sugu
Sent using Jamii Forums mobile app
Taarifa zozote za faragha ni zako mkuu.Si busara kwa hiyo kuzitoa kwa yeyote,iwe Tala,Google,Facebook,"Tala ni app nambari 1 Tanzania inayotoa huduma za kifedha kwa wadau wanaotumia mtandao wa Tigo na Vodacom !
Tunakupatia mkopo mikononi mwako, wakati wowote na mahali popote. Pia ada zetu ni ndogo na tuna ratiba rahisi za marejesho.
Je! Inafanyaje kazi?
- Fungua akaunti yako ya Tala
- Omba mkopo kwa dakika 5 tu
- Pata jibu la ombi lako la mkopo baada ya sekunde chache tu
- Pesa itatumwa papo hapo kwenye akaunti yako ya Tigo Pesa au M-PESA
- Kopa na rejesha mkopo kwa wakati uweze kukopa viwango vikubwa zaidi
Sera ya Faragha: Unapo-download programu ya Tala, tutakuomba kusoma SMS zako pamoja na taarifa nyingine ili kuhakiki utambulisho wako, na hali yako ya kifedha, ili tuweze kukupatia mkopo wa haraka popote ulipo Tanzania. Tunathamini sana faragha na taarifa zako binafsi hazitatolewa kwingine bila ya wewe kutoa idhini."
ndugu wana Jf naomba ushuhuda wa watu waliopata mkopo kupitia hawa watu, na je kuhusu hiyo sera yao ya faragha haiwezi kutumika vibaya hasa wanapopata taarifa za mtu husika?
msaada tafadhali vyuma vimekaza[emoji16] [emoji16]
Jamaniii dhambi ujueeSilipi hata senti mama,nilikuwa nakopa natoa nakaa siku moja narudisha hivyo hivyo mpaka nimefiia kiwango hiki
Na je km ungeamua kulipa terms of payments zao kwa hela hiyo ni miezi mingapi ?Silipi hata senti mama,nilikuwa nakopa natoa nakaa siku moja narudisha hivyo hivyo mpaka nimefiia kiwango hiki
It depends unaweza kuchagua kulipa yote kwa mkupuo au kwa 4 upto 6 installments,ila me huwa nalipaga yote kwa mkupuo after two days ili nipande viwango fasta,so far so good,hapa nilipofika panatosha.Na je km ungeamua kulipa terms of payments zao kwa hela hiyo ni miezi mingapi ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana si dhambi koku halafu huo mwanya ni wako?
Hizo 4 to 6 installments ni ndani ya mwezi mmoja mkuu ?It depends unaweza kuchagua kulipa yote kwa mkupuo au kwa 4 upto 6 installments,ila me huwa nalipaga yote kwa mkupuo after two days ili nipande viwango fasta,so far so good,hapa nilipofika panatosha.
Hahah mbona unaogopa mama koku,hapana ni miezi
Avator tuu Prince.Hahah mbona unaogopa mama koku,hapana ni miezi
mm Branch nilikopeshwaga mwaka juzi ef60 riba ef9000Ni kweli kabisaaa kuna siku nlilipa mkopo wa 72 elfu nikakopeshwa elfu 70 ....sijalipa mpaka kesho na silipi mpaka kiama wajinga sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo tabia yao hao wana hila kama ninimm Branch nilikopeshwaga mwaka juzi ef60 riba ef9000
ina maana Nirudishe 69000/=Tzs
Baada ya kurudisha wakabikopesha tena 60000/= ina maana nimewapa ef9 ya bure
nmewatupia huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa seriously ?Hello, Tala......naomba milioni kumi fasta fasta. Nakupa dakika 5 tu uwe umenipa la sivyo nakushitaki.