Hawa Tala Tanzania ninyi mnawaelewa?

Hawa Tala Tanzania ninyi mnawaelewa?

Mm nliboeka kitu kmoja, nliichukua nikajiunga na tigo ila kwa bahati mbaya mtandao wake ni mbaya hapa nlipo voda hivyo nikawatumia msg wanibadilishia namba nliyounganishia ili nitumie voda ila ikashndkana nikai install fasta kwa kukosa huduma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Tala ni app nambari 1 Tanzania inayotoa huduma za kifedha kwa wadau wanaotumia mtandao wa Tigo na Vodacom !

Tunakupatia mkopo mikononi mwako, wakati wowote na mahali popote. Pia ada zetu ni ndogo na tuna ratiba rahisi za marejesho.

Je! Inafanyaje kazi?
- Fungua akaunti yako ya Tala
- Omba mkopo kwa dakika 5 tu
- Pata jibu la ombi lako la mkopo baada ya sekunde chache tu
- Pesa itatumwa papo hapo kwenye akaunti yako ya Tigo Pesa au M-PESA
- Kopa na rejesha mkopo kwa wakati uweze kukopa viwango vikubwa zaidi

Sera ya Faragha: Unapo-download programu ya Tala, tutakuomba kusoma SMS zako pamoja na taarifa nyingine ili kuhakiki utambulisho wako, na hali yako ya kifedha, ili tuweze kukupatia mkopo wa haraka popote ulipo Tanzania. Tunathamini sana faragha na taarifa zako binafsi hazitatolewa kwingine bila ya wewe kutoa idhini."

ndugu wana Jf naomba ushuhuda wa watu waliopata mkopo kupitia hawa watu, na je kuhusu hiyo sera yao ya faragha haiwezi kutumika vibaya hasa wanapopata taarifa za mtu husika?

msaada tafadhali vyuma vimekaza[emoji16] [emoji16]
Taarifa zozote za faragha ni zako mkuu.Si busara kwa hiyo kuzitoa kwa yeyote,iwe Tala,Google,Facebook,
Instagram,Tweeter or who ever.Makampuni haya yanatumia data zetu vibaya kwa kuziuza kwa makampuni makubwa ya kibiashara na ujasusi duniani.Kuwa makini sana mkuu.Makampuni hayo ya kibiashara yanazifanyia nini data zetu,ni somo lingine pana kidogo.
 
Ni kweli kabisaaa kuna siku nlilipa mkopo wa 72 elfu nikakopeshwa elfu 70 ....sijalipa mpaka kesho na silipi mpaka kiama wajinga sana

Sent using Jamii Forums mobile app
mm Branch nilikopeshwaga mwaka juzi ef60 riba ef9000
ina maana Nirudishe 69000/=Tzs
Baada ya kurudisha wakabikopesha tena 60000/= ina maana nimewapa ef9 ya bure

nmewatupia huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hello, Tala......naomba milioni kumi fasta fasta. Nakupa dakika 5 tu uwe umenipa la sivyo nakushitaki.
 
Back
Top Bottom