Hawa TAMISEMI vipi? Mbona ajira ya walimu ni kimya na akaunti za waombaji zote wamezifunga

Walimu muna njaa sana hadi mnakera Sasa kwenye hii nchi loooooh, mbona watu wa afya sijaona hii mihemko, maajira kibao yametoka lakini walimu mpaka kero ndomana wanaendaga walio feli akili zenu huwa hazijifichi, swala la selection ni process sio event Sasa haraka zako hizo siku majina yakitoka utasema bora yasingetoka nautakuja kuwachukia maisha yao yote wewe lete kiherehere tu
Aisee 😂 mbona umemind kiasi hicho?
 
Hawa Tamisemi wako kimya tu kuhusu ajira za walimu. Bila shaka wamelenga ajira zianze julai mosi. Sasa ni vizuri wakatoa majina mapema ili watu wajipange, wasije wakatoa majina kisha kutoa muda mfupi wa kuripoti na vitisho kuwa mtu asiporipoti mapema nafasi yake itachukuliwa. Ninachoshangaa ni akaunti zote kufungwa ambapo ndiyo palipaswa kuwa ni uwanja wa mawasiliano.
Endeleeni kuvuta subira. Muda si mrefu mtapigwa na kitu kizito kichwani.

Bora mkaanza kuingiza kwenye vichwa vyenu mawazo mbadala ya kujiajiri, kuliko kusubiria hizo ajira za kuomba walimu laki 1 na nusu, halafu wanaajiriwa walimu 9800 pekee!
 
Umesikia
 
Attachments

  • Screenshot_20220622-144642.png
    Screenshot_20220622-144642.png
    195.2 KB · Views: 6
Endeleeni kuvuta subira. Muda si mrefu mtapigwa na kitu kizito kichwani.

Bora mkaanza kuingiza kwenye vichwa vyenu mawazo mbadala ya kujiajiri, kuliko kusubiria hizo ajira za kuomba walimu laki 1 na nusu, halafu wanaajiriwa walimu 9800 pekee!
Nililiongea hili wakaona naleta uchuro, watu zaidi ya laki moja kila mtu anauliza majina yanatoka lini, haijalishi ni miujiza gani itatendeka lakini lazima wapo watakaokosa na hapo ndipo utajipa stress mwaka mzima, ni bora uendelee kufanya mambo mengine hizi ajira uweke kama probability, sasa wewe mda wote upo kitandani kwa wazazi wako mbavu sikichoka unaenda sebleni kuangalia TV wageni wakija unaenda nje kukaa nyuma ya nyumba, ugali ukiiva unakuwa wa kwanza kupakua nakugombania nyama na wadogo zako, ukishiba mnanyang'anyana remote ya TV na watoto sebleni, jua likizama unaweka sijui HUBA mara series za kihindi, ukichoka unaenda kujibwaga kitandani. Huchangamani na wenzako, kucha kutwa upo jamiiforum na kibando cha kuiba Mia tano ukitumwa sokoni unakata ya vocha mwisho wa siku umetumwa nyanya za Mia tano unaenda kuchukua za Mia nne, vitunguu vya Mia tatu wew unanunua vya 200, mafuta ya buku wewe unaomba upimiwe ya 800 ili upate jero ya vocha uweke bando uje utusumbue na vimeseji vyako vya kipumbavu mara mambo vp, maraa umepotea, mara nambie, mara sijui uko wapi nije, mara sisi Tupo, yani unakuwa kama tahila. Vijana tafuteni kazi hata yakumwagilia mboga za majani huwezi Kosa buku teni faida kwa siku, nchi yoyote Ile Dunia serikali huwa haiajiri mda wote, inaajiri kulingana na uhitaji wao kazi yao kubwa ni kutengeneza mazingira rafiki kwa sekta binafsi kufanya uwekezaji na hawa ndio wanaoajiri kwa viwango vikubwa kitu ambacho serikali imeshindwa kushawishi wawekezaji na ndio maana ajira zimekuwa ngumu.
 
naomba mungu wenzio waione comment yako na wakuelewe
 
Back
Top Bottom