Hawa vijana ambao walikuwa "Team Mbowe" kwa kweli wanahuzunisha

Kama mtu ameshashinda na wewe huridhiki, si mpotezee endelea na mambo mengine muda utamuhukumu?
Ni upumbavu kuanza kumshambulia Lissu kama vile ndio main target.
 
Sitakaa kuwaamini wana siasa. Na leo Jpili tumejifunza kutoka Jeremiah 17: 5-8

A curse on the man who puts his trust in man,
who relies on things of flesh,
whose heart turns from the Lord.
He is like dry scrub in the wastelands:
if good comes, he has no eyes for it,
he settles in the parched places of the wilderness,
a salt land, uninhabited.
 
Mkuu Bonny ni Mwenyekiti wa Kanda unawezaje kusema anahujumu Chadema? Unaweza kuandika jambo lolote lingine na ukapata "LIKE" Nyingi tu, si lazima uzushe, Muogope Mungu
Bonny na Sugu wanajifanya hawaoni ushindi wa Lissu. Tulitegemea kuwaona kwenye events muhimu ila hawakuwepo na hawajajishughulisha kwa chochote. Ni wahujumu naweza kusema. Pamoja na Kileo na wengine niliowataja. Kama wanaona hawajaridhika wanaweza kuachia hizo nafasi wakawekwa wengine. Tumemtoa Mbowe hatumshindwi yeyote yule.
 
Wachaga hawawezi kumsapoti Mnyampaa wa Singida aliyempora mchaga mwenzao chama. Dhambi aliyofanya Lissu itamtafuna. Kumnyang'anya mtu chama chake alichorithishwa na baba mkwe ni dhambi mbaya sana.
 
Wakiteuliwa sawa, Mbona Mnyika Kateuliwa? lakini ni dhahiri kwamba muda wao uliisha
Mpeni support Lissu, achaneji na mazoea.
Maana ni aibu hata bila ya uwepo wa hao jamaa ila harakati za cdm hazijasimama.
 
Bonny na Sugu wanajifanya hawaoni ushindi wa Lissu. Tulitegemea kuwaona kwenye events muhimu ila hawakuwepo na hawajajishughulisha kwa chochote. Ni wahujumu naweza kusema. Pamoja na Kileo na wengine niliowataja. Kama wanaona hawajaridhika wanaweza kuachia hizo nafasi wakawekwa wengine. Tumemtoa Mbowe hatumshindwi yeyote yule.
Hata hivyo licha ya wao kutoshiriki, kwani kuna suala lolote limekwama??
Acha wasuse wakae kando, ila kuna mambo makubwa na ya msingi zaidi ya kufanya kuliko kuwazingatia wao
 
Bonny na Sugu wanajifanya hawaoni ushindi wa Lissu. Tulitegemea kuwaona kwenye events muhimu ila hawakuwepo na hawajajishughulisha kwa chochote. Ni wahujumu naweza kusema. Pamoja na Kileo na wengine niliowataja. Kama wanaona hawajaridhika wanaweza kuachia hizo nafasi wakawekwa wengine. Tumemtoa Mbowe hatumshindwi yeyote yule.
Wapuuzi nyie mnaweza kumtoa nani?
Uyo chiba wenu kaita watu wala rushwa na tuhuma kibao leo mnalilia support yao anataka support ya wezi?
Alikuwa anaropoka bila kujua atawahitaji ebu jaribuni kumtoa mtu kama kuna chama kitabaki cha kukiongoza wajinga nyie
 
Bonny na Sugu wanajifanya hawaoni ushindi wa Lissu. Tulitegemea kuwaona kwenye events muhimu ila hawakuwepo na hawajajishughulisha kwa chochote. Ni wahujumu naweza kusema. Pamoja na Kileo na wengine niliowataja. Kama wanaona hawajaridhika wanaweza kuachia hizo nafasi wakawekwa wengine. Tumemtoa Mbowe hatumshindwi yeyote yule.
Nakutakia kila la heri kwenye kampeni yako
 
Back
Top Bottom