Hawa vijana ambao walikuwa "Team Mbowe" kwa kweli wanahuzunisha

Ritired, Lusungo na wengineo hapa jf pia wana hali mbaya sana.
 
Kiukweli mnajichoresha na mnazidi kuonekana kwenye jamii nyie ni watu wa aina gani. Malisa usisahau una foundation yako ambayo sisi ndiyo wadau wakubwa. Itafika mahali tutakukataa.
Si muendelee kuimarisha Chama, mbona wenzenu wanaendelea na issues zao?
 
Kwani sasa hivi wakoje? Iko hivi, uongozi mpya ukiingia huingia na watu wake, huo ndio utaratibu

Mkuu naamini kwamba panaposhinda watu wawili kuna kila upande una wafuasi wake....waungwana baada ya matokea wanarudi pamoja navkusahau tofauti zao.
 
Hivi sasa zam za akina mayemba, kila jukwaa atahutubia yeye
 
sasa na wewe chawa unapiga mkwara? we nenda kacheze na kina Zuchu na Baba levo ndio mahala pako.
 
Umeongea pweinti tupu

Kina Mawazo waliuawa lakini matunda ya Ruzuku Ndio yamejaza tumbo la Boni Yai 😂
 
Shida ya viongozi wa CHADEMA wa Sasa wanajadili watu binafsi.Wanaamini maandamano tu bila maridhiano kufikia malengo.Watanzania hawako tayari kuingia kwenye machafuko.Chama kinaongozwa na matapeli
 
Kina Boniface Jacob, Asenga ambao wamekuwa viongozi baada ya sisi kujitoa kwa hali na mali kuitetea Chadema kwenye chaguzi mbalimbali. Nao wanajifanya hawana habari kabisa.
Mbona kama vile Una kaunafiki flani hivi?
 
Boni anaogopa akikamatwa hana wa kumtolea hela aachiwe malisa fungu hapewi tena maana mbowe alikuwa anampa pamoja na maritin masese..
Hao wote bado wana ganzi il mda si mrefu watajitokeza kimya kimya kama yeriko namasese sa hivi wanakuja kuja sema hawajafunguka vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…