Hawa vijana ambao walikuwa "Team Mbowe" kwa kweli wanahuzunisha

Yericcko nyerere amesharejea anapiga kazi za Chama huko Mvuti Kigamboni
 
Nilikua nakuona una akili Ila kwa zile kampeni zenu chafu Za kishenzi pamoja na huyo Lissu wengi watu tumewadharau vibaya sana!! Character assassination ni tabia ya kihayawani na kishenzi sana kwa watu wanaojiita wana mageuzi!!

Lissu now yupo yupo tu kama yuko kisiwani ile vibe yote aliyovimba nayo kichwa imetoweka!! Ule utoto na ushenzi utawagharimu.
 
HUJAFA HUJAUMBIKA, SAWA DADA sinza pazuri.
 
Dogo mwambieni Lissu afukuze wote hao!
 
Ritired, Lusungo na wengineo hapa jf pia wana hali mbaya sana.
Hali mbaya kiuchumi au kiafya? Siasa Za upinzani ni kujitolea…. Kuumia na kuteseka!! Hivi mtu unawezaje kuwa na hali mbaya ukijiweka pembeni ya mduara wa hayo mateso?

Unaeteseka ni wewe uliefiwa na hawara mwenye mapesa lukuki
 
Huyu jamaa wakati Lema alipokandamiza kura za Lissu zikaonekana chache huku za Mbowe zikionekana nyingi alipost haraka kwenye time line yake bila kuweka neno lolote.
Jaman makene yupo wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…