Hawa vijana wanaoitwa machawa wanachangamsha mji sana

covid 19

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
6,967
Reaction score
17,452
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni hawa machawa wakiongozwa na chawa mkuu Mwijaku wanafanya mji unachangamka sana yaani hii style ya kusifia watu wazito na vimisemo misemo flani hivi inachangamsha sana mji.

Jiji limechangamka media zimechangamka nina rafiki zangu Nairobi na kampala wanafuatilia sana viclip vya Mwijaku.

Kinachokosekana sanasana mi naona ila wapo kienyeji tu ila naona kama wangekuwa kiprofessional wangepata kazi hadi za kimataifa.
 
unyumbu ni kazi ngumu sana ndrugu zango 🐒
 
Mataifa gani yenye upumbavu unaofanywa na hawa? Hawa ni ombaomba waliochangamka kufanya kazi hawawezi.
 
Mataifa gani yenye upumbavu unaofanywa na hawa? Hawa ni ombaomba waliochangamka kufanya kazi hawawezi.
Dunia inawataka watu kama hawa machwa trust mi matajiri ni wapenda sifa sana..
 
Tatizo mnafurahia yale yanaonekana tu hamjui wenzenu wanapitia mangapi nyuma ya pazia.

Uchawa huletwa na kupenda maisha mteremko, yani usifie upate pesa. Sasa kuna wengine hawatoi pesa kwa kusifiwa tu ni lazima wakuparase jicho.

Kaa ukijua asilimia 98% ya machawa ni shakula ya wanaowachawia.
 
Hao ndio wamejiajiri na mafanikio wanayapata chap chap
 
Dunia inawataka watu kama hawa machwa trust mi matajiri ni wapenda sifa sana..
Ndiyo nimesema wewe hujui maana ya uchawa. Chawa wana-operate kwenye low levels na ''wateja'' wake ni watu ambao hawana uelewa mpaka wa mambo na matukio, ambao kwa mawazo yangu wengi wanapatikana Tanzania tu.
 
Waking mwijaku hawapewi pesa buree kwa kusifia bali njia yao ya kusifia inafanya wawe kwenye Spotlight ambapo kibishara inakuwa ni fursa so wafanya biashara wana tangaza biashara kupiitia hao, hao jamaa wanaingiza pesa kupitia matangazo mwijaku Ana kampuni zaidi ya 10 hadi sasa anatangaza wala hategemei kupewa vipesa bure kule kusherehesha tu
 
Ndiyo nimesema wewe hujui maana ya uchawa. Chawa wana-operate kwenye low levels na ''wateja'' wake ni watu ambao hawana uelewa mpaka wa mambo na matukio, ambao kwa mawazo yangu wengi wanapatikana Tanzania tu.
Ndio mana ukisoma bandiko langu nimesema wanafanya unprofessional km wangeboresha wakafanya professional wangefika mbali..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…