Hawa vijana wanaoitwa machawa wanachangamsha mji sana

Hawa vijana wanaoitwa machawa wanachangamsha mji sana

Waking mwijaku hawapewi pesa buree kwa kusifia bali njia yao ya kusifia inafanya wawe kwenye Spotlight ambapo kibishara inakuwa ni fursa so wafanya biashara wana tangaza biashara kupiitia hao, hao jamaa wanaingiza pesa kupitia matangazo mwijaku Ana kampuni zaidi ya 10 hadi sasa anatangaza wala hategemei kupewa vipesa bure kule kusherehesha tu
Kalagabaho.....
 
Tatizo mnafurahia yale yanaonekana tu hamjui wenzenu wanapitia mangapi nyuma ya pazia.

Uchawa huletwa na kupenda maisha mteremko, yani usifie upate pesa. Sasa kuna wengine hawatoi pesa kwa kusifiwa tu ni lazima wakuparase jicho.

Kaa ukijua asilimia 98% ya machawa ni shakula ya wanaowachawia.
Si kweli hizo vitu ni tabia za watu wenyewe..!
 
Ndio mana ukisoma bandiko langu nimesema wanafanya unprofessional km wangeboresha wakafanya professional wangefika mbali..
Chawa ni chawa. Hawana uwezo kufanya ki-professional hivyo neno ''wangeboresha'' ni batili.
 
Sasa yule jamaa anaeongea anarukaruka kwenye kiti halafu anajifanya eti ametumwa na watanzania. Halafu mama anawakataa hadharani. Siasa haitaki hasira
 
Back
Top Bottom