Hawa vijana wanaoitwa machawa wanachangamsha mji sana

Kalagabaho.....
 
Si kweli hizo vitu ni tabia za watu wenyewe..!
 
Ndio mana ukisoma bandiko langu nimesema wanafanya unprofessional km wangeboresha wakafanya professional wangefika mbali..
Chawa ni chawa. Hawana uwezo kufanya ki-professional hivyo neno ''wangeboresha'' ni batili.
 
Sasa yule jamaa anaeongea anarukaruka kwenye kiti halafu anajifanya eti ametumwa na watanzania. Halafu mama anawakataa hadharani. Siasa haitaki hasira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…