Hawa vilaza wanaogombania ubunge wa Arusha Mjini Makonda na Gambo je ni wazaliwa wa Arusha.?

Hawa vilaza wanaogombania ubunge wa Arusha Mjini Makonda na Gambo je ni wazaliwa wa Arusha.?

Knock life

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
2,465
Reaction score
7,764
Kwanini hawa Vilaza Makonda na Mrisho Gambo wasiende kugombea ubunge sehemu walipozaliwa ?

Nitashangaa Sana watu wa Arusha wakiwapa nafasi
 
Kama kawaida ya Fisiemu watakaye mteu watahakikisha wanaiba kura ili apite achilia mbali kura zinasemaje.
Urithi wa Magufuli
 
Sio hao vilaza tu kuna wengine nao wanagombea si kwao
 
Huwezi jua! Huenda Makonda ameshatafutiwa jimbo lingine nje ya mkoa wa Arusha!
 
Kwanini hawa Vilaza Makonda na Mrisho Gambo wasiende kugombea ubunge sehemu walipozaliwa ?

Nitashangaa Sana watu wa Arusha wakiwapa nafasi
Makonda hata mimi namshangaa sana. Hivi angepelekwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya angegombea Mbeya?
Arusha bora aachane nayo tu na arudi Kigamboni au Nyamagana.
Lakini Makonda akisifiwa anakuwa na mihemko sana ila Arusha sio sehemu salama kwa future yake ya kisiasa.
 
Kwanini hawa Vilaza Makonda na Mrisho Gambo wasiende kugombea ubunge sehemu walipozaliwa ?

Nitashangaa Sana watu wa Arusha wakiwapa nafasi
Lemma na yeye akagombee Kilimanjaro
 
Back
Top Bottom