Hawa waandishi wa Clouds ni ovyo kabisa

Kuna mmoja alikuwa mlinzi wa mwendakuzimu alifia E.M Hospital na akasafirishwa mpaka kwake Dodoma kuagwa na kupelekwa kuzikwa kwao Iringa.

Alikuwa na wajihi aliousemea TL.
 
Kuna mmoja alikuwa mlinzi wa mwendakuzimu alifia E.M Hospital na akasafirishwa mpaka kwake Dodoma kuagwa na kupelekwa kuzikwa kwao Iringa.

Alikuwa na wajihi aliousemea TL.
Unayo picha yake?

Kama muda wote alikuwa na Magufuli, basi picha yake haiwezi kukosekana.

Tuwekee hapa, tafadhali.
 
Haaminiki hata kidogo na nani!!?
Sema wewe humuamini!
Mimi namuamini,na kwa kuwa nina akili timamu,siwezi kuzungumzia kiujumla jumla kama kilaza.
Kwani nimesema wewe ndo humwamini?
 
Waoga wa kuuliza maswali yatakayowakwaza chawa wa mama na chawa wa chadomo
 
Masuala ya msingi yote waandishi wa Clouds walimuuliza Tundu Lissu........

Likiwemo la kutofanyiwa. Uchunguzu na Polisi, kuhusu kishambuliwa kwake, hayo mengine yana himu kwako pekee Nyani Ngabu
 
Mimi nina maswali machache tu!

Ni nini mantiki ya swali lako, na ulitaka liulizwe kwa mtindo upi?

Kwani hilo swali lako ndilo lililobeba agenda ya mahojiano?

Hata hivyo, swali lako moja halitoshi kuonesha uthibitisho, beyond a reasonable doubt, kwamba hao waandishi hawafai ama hawakidhi vigezo vya taaluma zao.

Umesema kwamba, nanukuu; "moja ya maswali ambayo nilitegemea wangemuuliza", mwisho wa kunukuu. Hayo maswali mengine tofauti na hilo moja ni yapi?
 
Hivi mnadhani Lissu ni zuzu kama nyie/wewe?,au unadhani Lissu aliongea vile kwa bahati mbaya?!.....

Okwy nadhan namba ya simu ilikuwa pale chini ili kama kuna mwenye swali aulize. Wewe mwenye akili mbona hukuuliza?
 
Mapungufu ya waandishi wengi wa habari wa TZ wanapofanya mahojiano umeyaona alipohojiwa TL tu? Pole sana.

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
 
Sasa wewe unataka kuwalazimisha hao waandishi wawe na akili zako?
Lililo muhimu kwako, unadhani ni muhimu kwa wengine wote?
 
Wasukuma wanaonyesha udhaufu mkubwa sana na makasiriko baada ya jiwe kufa.
Walihisi hii nchi ni yao
Mkuu, 'Cyanee', mara zote huwa ninajisikia vibaya kuhukumu kundi zima/jumuia nzima kwa vitendo vya walio wachache katika kundi hilo.
Ni kweli kabisa, baadhi ya wasukuma, na hasa hasa hawa wanaojitokeza hata humu waziwazi kuonyesha mambo yasiyo ya maana, si lazima hao ndio wawe wawakilishi wa kundi lote la wasukuma.
Dhana ya aina hii huwa sikubaliani nayo kabisa.

Walaumu moja kwa moja hawa wanaojitokeza mbele kwa upumbavu wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…