Hawa waandishi wa Clouds ni ovyo kabisa

Kwa hiyo wewe kifo au uhai wa huyo Mlinzi wa Dikteta ndo hoja kwako? Mbuzi kasoro mkia kabisa we
 
Wee zee la mataga tulia ivoivo!! Unataka kuhoji nenda kamuulize wew.
 
Huna hoja wewe
 
Mkuu Nyani Ngabu naendelea kusisitiza Tundu Lissu sio mzima wa akili. Afya yake ya akili ina matatizo. Ebu fikiria alivyomshambualiaga Mwalimu Nyerere. Hata Mbowe ameishaapa HAWEZI kumpa kichaa wa akili Uwenyekiti wa chama. Muda utaongea.
 
Lissu alizusha kuwa mmoja wa walinzi wa Rais Magufuli naye alikufa kwa corona, kama alivyokufa Magufuli, kwa mujibu wake [yeye Lissu].
Wewe uliona hili swali la kijinga ndio muhimu kuulizwa?? Andaa kipindi chako na wewe.
 
Dh
Mkuu Nyani Ngabu naendelea kusisitiza Tundu Lissu sio mzima wa akili. Afya yake ya akili ina matatizo. Ebu fikiria alivyomshambualiaga Mwalimu Nyerere. Hata Mbowe ameishaapa HAWEZI kumpa kichaa wa akili Uwenyekiti wa chama. Muda utaongea.
Dhambi mlizofanya kipindi kile zitaendelea kuwatafuta kwa miaka mingi sana
 
Mkuu Nyani Ngabu naendelea kusisitiza Tundu Lissu sio mzima wa akili. Afya yake ya akili ina matatizo. Ebu fikiria alivyomshambualiaga Mwalimu Nyerere. Hata Mbowe ameishaapa HAWEZI kumpa kichaa wa akili Uwenyekiti wa chama. Muda utaongea.
Sometimes akili ikiwa inafanya kazi kupita kiasi ule utimamu unapotea. Na si kwa Tundu Lissu tu peke yake Kaka... watu wengi maarufu na wasio maarufu, hasa wenye elimu sana!

Vingine sidhani kama ni vitu vya kulaumu.
 
Kwahyo unaona watu wajinga sababu swali lako halijaulizwa!..
 
Nyani yeye anataka wamuulize vile anavyotaka😅😅
Hahaha! Anasahau kwamba kila mtu na fani yake... walishaona kuna side-effects aidha nzuri au mbaya ndo mana hawakuuliza. Labda tusubiri kupitia kipindi cha dakika 45 ITV, huenda watamuuliza maswali ya kichokozi na nyeti kama atakavyo yeye Komredi NYANI NGABU.
 
Sometimes akili ikiwa inafanya kazi kupita kiasi ule utimamu unapotea. Na si kwa Tundu Lissu tu peke yake Kaka... watu wengi maarufu na wasio maarufu, hasa wenye elimu sana!

Vingine sidhani kama ni vitu vya kulaumu.
Umenena vyema. Umenikumbusha kauli Profesa Robert Watson mgunduzi wa DNA aliposema DNA za Wazungu na DNA za Waafrika ni tofauti katika uwezo wa akili na kadhalika.
 
Umenena vyema. Umenikumbusha kauli Profesa Robert Watson mgunduzi wa DNA aliposema DNA za Wazungu na DNA za Waafrika ni tofauti katika uwezo wa akili na kadhalika.
Hahaha! Ahsante kwa reference mkuu!

Tusiende mbali hapahapa nyumbani tunao wengi tu.

Unamfahamu bwana mmoja anaitwa "Simbaulaya" au "kambaulaya"?!

kama sikosei... yeye ni Prof. yupo B.O.T ana degree zaidi ya 2 na Masters zaidi ya 2 nafkiri
 
Clouds ni wanafiki sana kipindi kilivoanza wamejikomba utazani walishakaa kuongea naye .
 
Hahaha! Ahsante kwa reference mkuu!

Tusiende mbali hapahapa nyumbani tunao wengi tu.

Unamfahamu bwana mmoja anaitwa "Simbaulaya" au "kambaulaya"?!

kama sikosei... yeye ni Prof. yupo B.O.T ana degree zaidi ya 2 na Masters zaidi ya 2 nafkiri
Ahahahahah! Au yule Wakili Msomi Profesa aliyegombea Urais Kenya majuzi kati! Ukimsikia anaongea unatamani kupiga simu Mirembe kwamba kuna mtu wenu aliyetoroka kapatikana huku! Ahahahahah!!!
 
Wewe mleta mada nimekuzarahu sana leo, kumbe hazijajaa kiasi hicho?

Habari za Magufuli ni past tense haziwezi tusaidia kitu kwa sasa, habari ya sasa ni Mh. Rais Mama Samia huyo ndio tunatakiwa tumjadili, tumshauri, timsikilize, tumkosoe, tumuombee.
Nashauri tuachane na habari za wafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…