Hawa waandishi wa Clouds ni ovyo kabisa

Hujui hata kuandika kwa usahihi.
FOH.
 
Kwahiyo kila raiya awe na swali lake analitaka liulizwe??

Hizo machakula za makopo mnazokula huko zinawapunguzia uwezo wa kufikiri sawa-sawa.
 
Hivi mahojiano ya mchongo yanayolenga kumpromote unategemea aulizwe maswali ambayo hana majibu?
 
Kwa hilo tu ndo umejiona una uhalali wa kuwatukana watangazaji hawa...?

Kama unataka kuuliza swali kama hilo Kwa sababu wenzako hawakuona umuhimu wake au waliona halina uzito na pengine hawajui hata kama Kuna hoja kama hiyo,
kwanini wewe usimwalike Tundu Lissu kwenye TV yako ukamuuliza swali Hilo..?
 
Tz waandishi wa habari,bila kuwa dharau ila ni dhaifu sana huwa hawajui kuhoji na kukata kiu ya wasikilizaji na ni wavivu pia wa kujifunza
 
Na nasema ni uzushi kwa sababu huyo jamaa aliyedaiwa kufa, hakuwa amekufa. Alishiriki kikamilifu hadi mwisho wa mazishi ya Magufuli
Wewe uliwajua walinzi wote wa JPM?
Ukute wewe ndo mzushi Og!
 
Labda huyo mlinzi ni mjomba wake
Itakuwa!. Huyu bwana uwa anamu-attack Lissu kupitia huyo mlinzi wa Magufuli na uwa aelezi tukio zima vile TL alivyokuwa anaeleza vile Mkuu wa kile kijiji alivyokuwa anapumlia ventileta hadi kukata moto ila Makayafa wake wakawa wanakanusha kuwa "si kweli,magufuli ni mzima na si lazima aonekane akifanya jogging kariakoo".
Huyu bwana uwa hajali chochote kuhusu hayo, yeye anajali kuhusu mlinzi.
Huyu bwana ukimuulize uovu wa Lissu hana jibu jingine zaidi ya kusema"Lissu alisema mlinzi wa Magofuli kafa wakati yupo hai" yeye huwa hana madai kama ya akina Etwige kuwa"lissu alinunuliwa na wazee wa Miga"😂. Yeye uwa ni huyo mlinzi tu. Jipe muda, kuna siku ataanzisha uzi tena wa kumponda TL huku hoja kuu ni huyo huyu Mlinzi.
 
Hivi wewe ulijifunza lini Kiswahili?
 
Sukuma Gang, Are you ok
 
Clouds ni wanafiki sana kipindi kilivoanza wamejikomba utazani walishakaa kuongea naye .
Si Clouds tu... almost waandishi wote duniani wana kipengele hicho kwenye fani yao au masomo yao ya upekuzi/uchokozi au kaunafiki fulani ka kumuandaa muhojiwa kuingia kwenye "18" na kumwaga habari au taarifa ambazo wanaohoji wanazihitaji. Kwenye kipengele hiki mbinu nyingi za ziada zinahitajika kukufanya uamini mpo pamoja au ni marafiki na uwe huru kusema chochote kwao.
 
Waandishi waliobaki Clouds360 kwa sasa ni vilaza watupu.
Wale Quality Materials walikwishapata teuzi,na maisha yakasonga mbele!
 
Waandishi wa Clouds asilimia kubwa ni cheap labour!(wazee wa ungaunga mwana tusonge)
Sasa kama kampuni inampa mkataba wa utangazaji mtu kama Mwijaku,unategemea weledi kwenye Kampuni kama iyo.
 
Kwahio wangeuliza Hilo swali, interview ingekua nzuri
Maana ya kumpa mtu interviews ni kuhakikisha anapata wasaa wa kuondoa makamdokando yote aliyotuhumiwa!

Tatizo watanzania mnageuza siasa kuwa ishabiki kama Simba na Yanga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…