NITAKUKAMATA TU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 347
- 432
Wa huku wanakimbilia kuchambua mpira huku wanachanganya na kiingerezaNimeshangazwa na Tanzania kutokupata mwanahabari wa kupiga kura za ballon dorr,wanahabari wa Tanzania (wachambuzi) wamekwama wapi kupiga kura za kumchagua mchezaji bora dunia tuzo za ballon d orr au wenyewe wanachokijua ni kutengeneza mijadala kupitia vipaza sauti vyao
View attachment 2033065
View attachment 2033067
View attachment 2033068
View attachment 2033069
Kwani ni dhambi ,kichwa cha habari kinaandikwaje mke mdogo wewKichwa habari kirefu mno. Jitahidi kujifunza namna ya kuandika vichwa vya habari.
Kwahiyo taarifa yako hii ni ya kitoto aka childish
Ukifudishwa jifunze acha upumbavu.Kwani ni dhambi ,kichwa cha habari kinaandikwaje mke mdogo wew
[emoji28][emoji28][emoji28]Wa huku wanakimbilia kuchambua mpira huku wanachanganya na kiingereza
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app