Hawa wabongo ndugu zetu waliokuwa wanalipwa dola na kutembelea DFP ulikuwa ukimuomba kazi anakuletea dharau sasa kiko wapi?

Manfried

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
1,288
Reaction score
4,074
Kuna Dada mmoja wa JF alikuwa anjiita HR nilimuomba E-mail kipindi nipo chuo mwaka 2010 nilikuwa namalizia diploma

Alinikazia na kuninyima sasa huwa namsalimia Mara Kwa Mara

Baada ya zuio la trump amekuwa mpole Sana .

So acheni hizo nyie waswahili Leo mnarudi mtaani Kuwa jobless

Kiko wapi
 
Na mpaka watheme

Mbona wewoooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…