Hawa wabongo ndugu zetu waliokuwa wanalipwa dola na kutembelea DFP ulikuwa ukimuomba kazi anakuletea dharau sasa kiko wapi?

Hawa wabongo ndugu zetu waliokuwa wanalipwa dola na kutembelea DFP ulikuwa ukimuomba kazi anakuletea dharau sasa kiko wapi?

Roho mbaya hizo za kuombea Watanzania wakose kazi. Hata yeye akikosa kwani wewe utaipata hiyo kazi?

Mpe pole na kumuombea kwa Mungu apate kazi nyingine.

Ni roho za kimaskini sana kufurahia watu wanapopata shida.
... wakati vyuma vikizidi kukaza mwenzie japo ana kamtaji ka kuzunguka gunia mia za mahindi, yeye je?
🤣
 
Kuna Dada mmoja wa JF alikuwa anjiita HR nilimuomba E-mail kipindi nipo chuo mwaka 2010 nilikuwa namalizia diploma

Alinikazia na kuninyima sasa huwa namsalimia Mara Kwa Mara

Baada ya zuio la trump amekuwa mpole Sana .

So acheni hizo nyie waswahili Leo mnarudi mtaani Kuwa jobless

Kiko wapi
unaAKILI ndogo sana kheri ulivyonuimwa hiyo kazi
 
Mimi nipo sehemu ambayo nimeajiri watu zaidi ya 10 na wote wanaishi vizuri sasa unazungumzia ajira tena
IMG_20250205_222425.jpg

Narejea tena kukueleza mdogo wangu, hiyo negative energy ni sumu inakutafuna achana nayo. Ukishakuwa na roho nyeupe Mungu atakufungulia milango, watu wa NGO hizo ni kudra zao watakosa hapa kesho watapata kwingine.
 
Nadhani sivizuri kufurahia anguko la mwingine wote tunamapungufu mengi sana alitesa kwamda wake mkuu.
 
View attachment 3226383

Narejea tena kukueleza mdogo wangu, hiyo negative energy ni sumu inakutafuna achana nayo. Ukishakuwa na roho nyeupe Mungu atakufungulia milango, watu wa NGO hizo ni kudra zao watakosa hapa kesho watapata kwingine.
Uaichojua Mimi huwa natafutia watu Kazi

Mimi kiumri ninakaribia miaka 46 sasa

Sasa Kwa akili yako nitakuwa natafuta ajira za kulipwa 500K-1M

Hiyo ni impossible
 
Hahah.. alafu amewafanyia surprise. As kulala na kuamka. USAID walipeana Kila kitu kwa kujuana sana Mpaka watu wakaona mashirika yote ya kimataifa ndio yalivyo. Ila jmn Kila Enzi inapita.
 
Back
Top Bottom