Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani ataajiri mjinga kama huyo!?Huyu jamaa ana sonona.
Mkuu kwahyo ulikuwa unatamani mambo yawe hivo yalivokuwa sio.Kuna Dada mmoja wa JF alikuwa anjiita HR nilimuomba E-mail kipindi nipo chuo mwaka 2010 nilikuwa namalizia diploma
Alinikazia na kuninyima sasa huwa namsalimia Mara Kwa Mara
Baada ya zuio la trump amekuwa mpole Sana .
So acheni hizo nyie waswahili Leo mnarudi mtaani Kuwa jobless
Kiko wapi
Unaweza kufanya kazi kwenye Malaria genomics?Kazi gani unajua niliomba kuna Kazi ambayo mtu hawezi kufanya katika hayo mashirika ?
😀😀😀Balaa lote hili lilianzia hapa
View attachment 3226353
Kuna Dada mmoja wa JF alikuwa anjiita HR nilimuomba E-mail kipindi nipo chuo mwaka 2010 nilikuwa namalizia diploma
Alinikazia na kuninyima sasa huwa namsalimia Mara Kwa Mara
Baada ya zuio la trump amekuwa mpole Sana .
So acheni hizo nyie waswahili Leo mnarudi mtaani Kuwa jobless
Kiko wapi
wana roho mbaya hao viumbeWewe nae acha nongwa.
Wanawake ndivyo walivyo akikupa connection nenda kwenye KABURI la babu yako ukatambike hao viumbe ni nature yao kuwa wabinafsi.Connection zao huwq lazima uwe na nyota ndo zikudondokee.
Vinasaba vya uchawiWabongo bhana, kwa hiyo umefurahia hilo?...
Mbona kama sikio la Trump Lina damuIlikuwa tarehe 13th August 2024 siku ya mashoto duniani wakati ambao Trump alinusurika kuuwawa.
Salaam , salaam. U hali gani?mkuu salaam, leo kipole.
Je qualification zako ni unique? Nimefanya kazi mashirika hayo, laiti unglelijua ni applications kiasi gani zinaingia kwa siku ungekaa kimya!Kazi gani unajua niliomba kuna Kazi ambayo mtu hawezi kufanya katika hayo mashirika ?
mi mzima kabisa, sijui upande wako ?Salaam , salaam. U hali gani?
Mini si mzima kabisa, ujinga mwingi sana unaota mizizi duniani 😂😂😂mi mzima kabisa, sijui upande wako ?
dunia haiwezi kuwa sawa, si una jua Wana kimbilia utajiri wa mali na si Akili.Mini si mzima kabisa, ujinga mwingi sana unaota mizizi duniani 😂😂😂