ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Noma sana!Wataelekea Kayumba chap
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma sana!Wataelekea Kayumba chap
Shida iko wapi tutalipwa mafao tutaendelea kutambaKuna Dada mmoja wa JF alikuwa anjiita HR nilimuomba E-mail kipindi nipo chuo mwaka 2010 nilikuwa namalizia diploma
Alinikazia na kuninyima sasa huwa namsalimia Mara Kwa Mara
Baada ya zuio la trump amekuwa mpole Sana .
So acheni hizo nyie waswahili Leo mnarudi mtaani Kuwa jobless
Kiko wapi
Unajua ukitoka kwenye ajira iliyokuwa inakulipa vema.Shida iko wapi tutalipwa mafao tutaendelea kutamba
Watfanya kazi nyingine kwani kazi ni Moja tu?Kuna Dada mmoja wa JF alikuwa anjiita HR nilimuomba E-mail kipindi nipo chuo mwaka 2010 nilikuwa namalizia diploma
Alinikazia na kuninyima sasa huwa namsalimia Mara Kwa Mara
Baada ya zuio la trump amekuwa mpole Sana .
So acheni hizo nyie waswahili Leo mnarudi mtaani Kuwa jobless
Kiko wapi
Kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi!.Kuna Dada mmoja wa JF alikuwa anjiita HR nilimuomba E-mail kipindi nipo chuo mwaka 2010 nilikuwa namalizia diploma
Alinikazia na kuninyima sasa huwa namsalimia Mara Kwa Mara
Baada ya zuio la trump amekuwa mpole Sana .
So acheni hizo nyie waswahili Leo mnarudi mtaani Kuwa jobless
Kiko wapiisaada itatoka nchi nyingine!
Ni kama ya serikali, Yanafanya kazi zilizotakiwa kufanywa na serikali
Uzuri hatakuja kukuomba hata Vocha...Kwaiyo ww waache na maisha yaoKuna Dada mmoja wa JF alikuwa anjiita HR nilimuomba E-mail kipindi nipo chuo mwaka 2010 nilikuwa namalizia diploma
Alinikazia na kuninyima sasa huwa namsalimia Mara Kwa Mara
Baada ya zuio la trump amekuwa mpole Sana .
So acheni hizo nyie waswahili Leo mnarudi mtaani Kuwa jobless
Kiko wapi
Watu wengine punguani sana, kwa hiyo ukimuomba kazi HR ànakupa tuu hata kama office hawajatangaza nafasi za kazi?Kuna Dada mmoja wa JF alikuwa anjiita HR nilimuomba E-mail kipindi nipo chuo mwaka 2010 nilikuwa namalizia diploma
Alinikazia na kuninyima sasa huwa namsalimia Mara Kwa Mara
Baada ya zuio la trump amekuwa mpole Sana .
So acheni hizo nyie waswahili Leo mnarudi mtaani Kuwa jobless
Kiko wapi
Uchawi tuWabongo bhana, kwa hiyo umefurahia hilo?...
Siku hiyo wakati Trump anahutubia kwenye kampeni zake hali akiwa hajui kinachoendelea kwa muovu dhidi yake, malaika wa Mungu alimuingia Trump , subconsciously, akamfanya Trump ageuze shingo. Kitendo cha Trump kugeuza shingo kikasababisha mal-alignment kati ya ubongo wa Trump na target ya mdunguaji. Mdunguaji alikuwa amelenga kuchakaza ubongo wa Trump lakini Trump alivyogeuza shingo, ile risasi ikamparaza kwenye sikio tu.Mbona kama sikio la Trump Lina damu