Hawa wabongo ndugu zetu waliokuwa wanalipwa dola na kutembelea DFP ulikuwa ukimuomba kazi anakuletea dharau sasa kiko wapi?

Kuna Dada mmoja wa JF alikuwa anjiita HR nilimuomba E-mail kipindi nipo chuo mwaka 2010 nilikuwa namalizia diploma

Alinikazia na kuninyima sasa huwa namsalimia Mara Kwa Mara

Baada ya zuio la trump amekuwa mpole Sana .

So acheni hizo nyie waswahili Leo mnarudi mtaani Kuwa jobless

Kiko wapi
Shida iko wapi tutalipwa mafao tutaendelea kutamba
 
Unajua ukitoka kwenye ajira iliyokuwa inakulipa vema.
Ikipita saana ni miezi sita(6) tu unageuka kuwa zombie
kama hujapata ajira nyingie. Tuulize kina sie tuna uzoefu
Mungu awaepushe.
 
Unahisi dfp zipo za hela alizozuia Trump tu? 😅

Hata hivyo tujitahidi kua updated. Miradi ipo
 
Wape tag wenzio kabla ndoa zao hazijasambaratika na watoto kurudi dumu fagio.
 
Shida kubwa hao ndio wanaongeza competition mtaani, halafu ndio wametoka kwenye mataasisi makubwa ni kama wanaweka kauzibe fulani
 
  • Thanks
Reactions: apk
Kuna Dada mmoja wa JF alikuwa anjiita HR nilimuomba E-mail kipindi nipo chuo mwaka 2010 nilikuwa namalizia diploma

Alinikazia na kuninyima sasa huwa namsalimia Mara Kwa Mara

Baada ya zuio la trump amekuwa mpole Sana .

So acheni hizo nyie waswahili Leo mnarudi mtaani Kuwa jobless

Kiko wapi
Watfanya kazi nyingine kwani kazi ni Moja tu?
 
Kuna Dada mmoja wa JF alikuwa anjiita HR nilimuomba E-mail kipindi nipo chuo mwaka 2010 nilikuwa namalizia diploma

Alinikazia na kuninyima sasa huwa namsalimia Mara Kwa Mara

Baada ya zuio la trump amekuwa mpole Sana .

So acheni hizo nyie waswahili Leo mnarudi mtaani Kuwa jobless

Kiko wapiisaada itatoka nchi nyingine!
Kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi!.
Pia trump atakaa madarakani miaka 4 tu, akiondoka rais atakaefuata atarudisha misaada
 
  • Thanks
Reactions: apk
Ni kama ya serikali, Yanafanya kazi zilizotakiwa kufanywa na serikali

Yaani umeona kabisa kabisa hiyo ni sababu ya kuendesha speed hata kwenye 50 na kuovertake hovyo hovyo?
Unataka ugomvi na serikali; shauri yako!
 
  • Thanks
Reactions: apk
Mkiambiwa mjiajiri nje ya hizi kazi mnatuona wajinga,sasa njoeni niwaajiri kwenye mashamba yangu ya nyanya na vitungu.
 
  • Thanks
Reactions: apk
Kuna Dada mmoja wa JF alikuwa anjiita HR nilimuomba E-mail kipindi nipo chuo mwaka 2010 nilikuwa namalizia diploma

Alinikazia na kuninyima sasa huwa namsalimia Mara Kwa Mara

Baada ya zuio la trump amekuwa mpole Sana .

So acheni hizo nyie waswahili Leo mnarudi mtaani Kuwa jobless

Kiko wapi
Uzuri hatakuja kukuomba hata Vocha...Kwaiyo ww waache na maisha yao
 
  • Thanks
Reactions: apk
Kuna Dada mmoja wa JF alikuwa anjiita HR nilimuomba E-mail kipindi nipo chuo mwaka 2010 nilikuwa namalizia diploma

Alinikazia na kuninyima sasa huwa namsalimia Mara Kwa Mara

Baada ya zuio la trump amekuwa mpole Sana .

So acheni hizo nyie waswahili Leo mnarudi mtaani Kuwa jobless

Kiko wapi
Watu wengine punguani sana, kwa hiyo ukimuomba kazi HR ànakupa tuu hata kama office hawajatangaza nafasi za kazi?
 
Mbona kama sikio la Trump Lina damu
Siku hiyo wakati Trump anahutubia kwenye kampeni zake hali akiwa hajui kinachoendelea kwa muovu dhidi yake, malaika wa Mungu alimuingia Trump , subconsciously, akamfanya Trump ageuze shingo. Kitendo cha Trump kugeuza shingo kikasababisha mal-alignment kati ya ubongo wa Trump na target ya mdunguaji. Mdunguaji alikuwa amelenga kuchakaza ubongo wa Trump lakini Trump alivyogeuza shingo, ile risasi ikamparaza kwenye sikio tu.

Mimi ni mashoto(left-hander) , Unconsciously;siku hiyo nilikuwa nimeweka status Whatsapp kuwaombea kinga watu ninao wasapoti akiwemo Donald Trump.
 
Back
Top Bottom